Elimu yetu, Elimu yetu. Soma maneno ya Mh Magufuli.

Kingdom Finder

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
1,119
1,392
Rasi Magufuli alisema zaidi ya sh. bilioni 87 zililipa mikopo hewa kwa wanafunzi 450 wenye daraja la nne, huku ikiaminika mikopo ni kwa ajili ya watoto wa maskini. "Unashangaa anayesimamia kitengo hicho ni Profesa. Hapa ndiko nchi ilipofika alisema." Chanzo Nipashe.
Kweli mvunja nchi ni mwananchi. Huyu profesa atafanyiwa nini. Kumsimamisha kazi tu inatosha. Inasikitisha.
 
No tusipotoshe ukweli! Hawa hawakuwa hewa, bali walikuwa wanafunzi ambao walikuwa hawana sifa za kuwepo hapo. Walikuwa wanasoma pale vyuoni. Tofautisha kuwa "hewa" =(non existent) na existent BUT hukidhi vigezo lakini ni mwanafunzi unasoma!
 
Tatizo ma professor wetu wamekubali kununuliwa. Njaa mbaya sana.
Sasa hivi wakitoa matamko nawachukulia kama wanasiasa na si wasomi wanaojitambua.
Hovyooo!
 
Pesa ndio imesababisha lowasa ameiweka chadema mfukoni....maprofessor akina safari...wasomi wakina tundu lisu wote wameshikiwa akili na lowasa.
 
Usiaibishe Nshomile, jaribu kuona ujio wa Lowasa Ukawa/Chadema msukumo wake ulikuwa ni upi? Nshomile wewe usiwaaibishe Nshomile wenzako
 
Pesa ndio imesababisha lowasa ameiweka chadema mfukoni....maprofessor akina safari...wasomi wakina tundu lisu wote wameshikiwa akili na lowasa.
Uko nje ya mada.anzisha yako mkuu.
 
Inaelekea kuna watu bila kumuandika LOWASA kwa lolote baya hawapewi mlo wa siku,yahani kila kitu watajaribu wakipindishe pindishe tu ili mradi apate mwanya wa kuandika Lowasa hivi ,Lowasa vile ,hadi inakera.Siwezi kuwalaumu nadhani wanapata posho fulani kwa ilo.
 
No tusipotoshe ukweli! Hawa hawakuwa hewa, bali walikuwa wanafunzi ambao walikuwa hawana sifa za kuwepo hapo. Walikuwa wanasoma pale vyuoni. Tofautisha kuwa "hewa" =(non existent) na existent BUT hukidhi vigezo lakini ni mwanafunzi unasoma!
Mkuu yote yanawezekana, ya watanzania mengi! unawezakuta kuna hewa na wasio na sifa kwa mpigo.
 
Back
Top Bottom