Adelina Johnbosco
Member
- Jun 6, 2016
- 20
- 2
Imekuwa kasumba sasa, licha ya miundo mbinu na huduma za kijamii, kuonekana kutokuwa sawia na zile za mijini,
Pia huduma za elimu za vijijini zinaonekana kusahaulika, misaada ya kielimu mingi huelekezwa shule za mjini.
Waalimu wengi hupatikana shule za mijini, masomo ya vitendo kama kompyuta na sayansi kwa vitendo (Practicals).
Mitihani ikitungwa ya masomo husika, inakuwa tofauti kati ya shule za mjini na vijijini?