Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 405
Kama huamini, rejea idadi ya kura za chaguzi mbalimbali katika maeneo ambayo angalau vyombo vya habari kama magazeti, redio na tv vinapatikana kirahisi. Mfano mzuri ni uchaguzi wa hivi karibuni jimbo la Igunga jinsi ccm ilivyogaragazwa kwenye vimiji vidogo vidogo kama Igunga mjini.