B BOD JF-Expert Member Joined Oct 13, 2016 Posts 222 Reaction score 164 Apr 7, 2017 #1 habari zenu wana JF! nimekua na mipango ya kwenda kusoma ulaya kwa ajili ya kupata exposure lakini nasikia habari za ubaguzi hasa wa rangi! je vitendo hivi bado vipo na kwa nchi zipi naomba experience yenu wadau!
habari zenu wana JF! nimekua na mipango ya kwenda kusoma ulaya kwa ajili ya kupata exposure lakini nasikia habari za ubaguzi hasa wa rangi! je vitendo hivi bado vipo na kwa nchi zipi naomba experience yenu wadau!