Elimu ya ufundi (TECHNICAL EDUCATION) ina vichekesho aisee.

Elimu ya ufundi (TECHNICAL EDUCATION) ina vichekesho aisee.

Brotherhood

Member
Joined
Nov 20, 2017
Posts
17
Reaction score
5
Fuatilieni huu uzi vizuri na nyie itawauma tu. Misingi ya elimu yetu sasa inasikitisha sana. Kuna shule zinaitwa Technical secondary school zapata Nane nchi nzima tena shule za historia kubwa tanzania. Wazee wetu walikuwa wanatamba na rlomu walizopata huko wakijiita mafundi mchundo(technician) na Waandisi bobezi. Nawatonya tu kidogo, shule zote hazifundishhi masomo ya ufunndi kwa kukosa mateacher wa masomo, wakifa, wakistaafu au kuhama masomo yanafungwa. No replacement. Sasa hivi ili kuziba mapengo ya walimu wameamua kuseminisha wanafunzi wa EGM, PCB, CBG NA PCM Waje kufundisha magar/umeme/ujenzi na mitambo.. Hao walimu wanafunzi wamekwenda mazoezi wamekwepa kuyafundisha wameamua wafundishe fizikia tu. Ufundi hawana wajuacho. Hii ndo nchi ya viwanda na technolojia mfu. Wadau toeni ushauri kwa Rais na serikali ya awamu ya tanobijue cha kufanya. Zamani walimu walicjukuabmafundi husika na waandisi leo inakuwaje.

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe hata michepuo ya ufundi ktk shule hizi hayatiliwi mkazo na wa masomo ya Sanaa na hawawezi kuyasemea na wengine wameanzisha masomo ya Historia jiografia na biolojia kwa lazima

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
 
dah! inasikitisha sana lakini IPO siku wataumbuka tu
 
inauma sana kama ulikuwa namatarajio ya kukuta kitu fulani halafu ukakikosa pole sana ndugu tuvumiliane hii ndio Tanzania
 
inauma sana kama ulikuwa namatarajio ya kukuta kitu fulani halafu ukakikosa pole sana ndugu tuvumiliane hii ndio Tanzania
 
In some extent nakubaliana nawe but kwaupande mwingine sikubaliani nawe, Vigezo vya kujiunga na chuo kinachotoa kozi za ufundi Tz hii ni Ufaulu wa kidato cha nne na hususan ni kwa wale wenye misingi ya ufundi au walopitia veta na kigezo chengine ni ufaulu wa kidato cha sita usiozidi daraja la 3 & vigezo vingine but muda mwengine kutokana na watu wenye vigezo vyote kutotosheleza,baadhi ya wanafunzi wachache wasiokuwa na basics za ufundi kwa idadi chache nao udahiliwa. Naongea hivyo coz mimi nipo ktk field hiyo ya ufundi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za muda huu ndugu.. mtoa mada hazungumzii vyuo anazungumzia technical schools kama vile moshi tech, Musoma tech, tanga tech n.k

Back
Top Bottom