Sinai
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 288
- 47
anda:anda:anda:Jamani, nilibahatika kuwa external examiner wa chuo kimoja cha biashara (CBE), hapa TZ hivi karibuni. Wakati napitia baadhi ya paper za wanachuo, nilishangaa sana kwa kweli, unakuta mtu ameandika essay hata haieleweki, unaweza kusoma paragraph tatu hakuna chochote kinachoendana na swali!!!!!!!!! Sasa watu kama hawa walifaulije form four na six? Je elimu yetu tunaipeleka wapi wadau?anda:anda:anda:anda: