kingxvi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 879
- 150
wapi kuna elimu bora hasa kwa ngazi ya secondary na vyuo? Hii nimeuliza baada ya kuona wenzetu elifu ya secondary ni miaka 4 wakati sisi ni 6 shahada ya kwanza wenzetu ni miaka 4 mpaka 6 wakati sisi ni miaka 3,na 4 kwa sheria na engeneering na kuendlea je ipi elimu ni bora?