Elimu ya siri / Hidden knowledge

Mada nzuri but imeishia njiani michango ya watu ni michache
 
Tatizo hivi vi Degree vya kuhonga wahadhiri ndio vinatufanya baadhi ya watu wajione na akili sana mpaka kudhani hakuna mungu au dunia inajiendesha yenyewe na hakuna nguvu ya NURU wala GIZA.
Usiku na Mchana ni mfano mzuri na wa dhahiri kuonyesha kwamba GIZA NA NURU havifanani.Kwakuwa akili hazifanani hata utashi wa mtu na mtu vile vile hutofautiana,hivyo kutoamini uwepo wa kitu fulani haimaanishi hicho kitu hakipo.
Elimu ya NURU ipo na hata elimu ya GIZA na zote zinafanya kazi,kuna baadhi ya vitu hudhihirisha uwepo wa kutokana na athari zake kwa vitu na viumbe.Kuna baadhi ya magonjwa ambayo yamegundulika kutokana na athari au matokeo yake kwa viumbe hai lakini kujua kwamba yamesababishwa na BACTERIA AU VIRUS mpaka ilipopatikana elimu ya kutengeneza vifaa vya utambuzi au kupimia.
 
Hee mbinguni ni sehemu hatari tena? Kivipi mkuu?
 
UWEPO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…