Elimu Ya Nyota

Satan

JF-Expert Member
Aug 9, 2017
1,188
1,714
Habari...
Nimejaribu kuuliza na kufatilia kwa kiasi fulani kuhusu hii kitu lakini nikaambiwa ni sayansi tu. Lakini mimi naona kama kuna nguvu za giza zinatumika hivi.
Kama ni sayansi kwanini isitumike ipasavyo kwenye maswala mbalimbali kama mapenzi, ajira, michezo n.k na ikafundishwa mashuleni ili kupunguza matatizo yasiyo na ulazima.
Na kama ni nguvu za giza zinatumika kwanini isifundishwe kwa siri kama uchawi au freemasonry?.
Wakuu hili swala mnalionaje?
 
Haya masuala hata mimi huwa siyaelewi kihiivyo...unasikia mtu anasafisha nyota, maraa ooh nyota yako mbaya..Yaani sielewi elewi
 
Habari...
Nimejaribu kuuliza na kufatilia kwa kiasi fulani kuhusu hii kitu lakini nikaambiwa ni sayansi tu. Lakini mimi naona kama kuna nguvu za giza zinatumika hivi.
Kama ni sayansi kwanini isitumike ipasavyo kwenye maswala mbalimbali kama mapenzi, ajira, michezo n.k na ikafundishwa mashuleni ili kupunguza matatizo yasiyo na ulazima.
Na kama ni nguvu za giza zinatumika kwanini isifundishwe kwa siri kama uchawi au freemasonry?.
Wakuu hili swala mnalionaje?
Hiyo ID yako lazima una majibu unatafuta mjadala
 
Mbona taaluma/Elimu ya mambo haya iko wazi... !!?

Tembelea/ingia google, tafuta Astrology, humo wanafundisha kila kitu Mkuu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom