Elimu ya nyota - msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Elimu ya nyota - msaada

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Enny, Mar 5, 2012.

 1. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Ni muda mrefu nimekuwa nasikia habari juu ya elimu ya nyota kuwa kila binadamu ana nyota yake na nyota ya mtu inaweza kung'arishwa zaidi na mambo yakawa yanamwendea vizuri. Hivi kuna ukweli wowote, kama kuna mtu mwenye uhakika na hilo naomba kuelimishwa zaidi.
   
Loading...