Elimu ya Mnyika

Status
Not open for further replies.

Kaisari

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2012
Posts
3,636
Reaction score
3,045
Samahani wapendwa, naona kama kuna harufu ya vita binafsi kwa hawa ndugu wanaozungumzia jambo hili. Sipendi kwenda huko lakini kwa maneno machache tuu nijaribu kuangalia kati ya wasomi wenye shahada nyingi na wasio nazo waliowahi kuongoza vizuri nchi.

Namkumbuka Lyatonga Mrema sijui kama alikuwa na shahada alipoongoza wizara fulani na nikimlinganisha na aliepo leo kwenye wizara husika sijui mnapembuaje mnapozungumzia shahada zenu! Nadhani labda niite tuu karatasi mnazopewa mkikaa pale mlimani kwa muda fulani.

Sitaki kuamini kwamba kila aliyepita pale kawekeza kichwani !! Kuna wengine aibu hata kuwatambulisha kitaaluma " kuna mkuu wa wilaya fulani huko tanga aliziita degree za ch...". Hii ni kutofautisha nini kinakutambulisha kama umekaa pale ukatoka na nini kichwani.

Kuna wengine wanaitwa madoctor huku lakini kiwango chao cha maamuzi na upembuzi wa mambo bora wangeishia form two. Mifano mnayo ya kutosha. Kila anayesoma hapa anamjua mmoja au wawili ama kadhaa katika hili.

Hebu tuangalie hoja ya maji ubungo,Mnyika ni mbunge wa ngapi tangu uhuru?

Wakati mnaomba kura za uraisi mlisemaje? Ile meli kule mwanza imeshalowekwa ziwani?

Kigoma imeshakuwa dubai?

Hivi hichokitu walichoshindwa kukifanya sisiem kwa miaka 52 huyu Mwampamba na Juliana ndiyo wataweza?

Hata kama watanzania ni wajinga sana lakini tunaangalia kabla ya mkutano nilikuja na nini kichwani na baada ya mkutano naondoka na nini?

Itafika mahali hamtapewa nafasi kuzungumza matusi, mwulizeni nchemba kule igunga watu waliondoka. Hamzungumzi hoja mnaongea mambo ya chupini. Hayabadilishi maisha ya kesho.

Kina Nape walizunguka nchi nzima wakiimba ufisadi hebu leteni mrejesho! Wapo wapi. Nyie mtazunguka mkiimba nini habari itakuwa kiporo hiyo.
 
Shahada ipo c ile yamaua km m2 akihitimu elimu fulan unamvisha au kuweka juu ya makaburi.
 
swala la shahada awe nayo asiyo nayo aitusaidi lakini kwa uwezo wa mnyika alionao wa uchambuzi wa mambo na jinsi anavyo pambana na mafisadi sisi hyo shahada ya darasani atuna shida nayo tuna shida na uwezo wake na jitihada zake kupambana na ukombozi wa nchi hii.
Je kwa wao ambao wana shahada mbona wamefukuzwa na wanatapa tapa? Waende zao uko awajui pakufia kisiasa
 
Nimekuelewa sana mpaka nashindwa nianzie wap! but kama topic sentence ni nzito sanaaaa can u edit pls?
 
kwa mujibu wa bunge Mh Mnyika ndiye anayeongoza kwa kutoa hoja za maana bungeni!!!!sasa hao wanaotaka elimu sidhani kama ipo kuna kuelimika zaidi ya huko
 
Sioni connection ya elimu ya Mnyika na ulichokiandika labda tuanze na elimu yako kwanza .....maana nashindwa hata nianze wapi umechanganya maada hata hakuna logic........edit kwanza tukupe elimu ya Mnyika
 
Hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya uongozi mzuri na kuwa na elimu ya juu. Hata hivyo, yeyote anayegombea nafasi ya uongozi hapaswi kudanganya kuhusu elimu yake.

Swali rahisi ni hili. Je, Mnyika alimaliza chuo au hajamaliza chuo? Degree anayo au hana?

Kwa vile Mnyika ameshajibu maswali mengi hapa JF akishindwa kujibu hili atakuwa anatoa ujumbe wa moja kwa moja kuwa degree HANA au chuo kikuu HAKUMALIZA. Maana kuwa na degree na kumaliza chuo ni vitu viwili tofauti...
 
Hoja yako inashawishi mkuu, ni dhahiri Ubungo ina rasilimali nyingi.Serikali ya CCM inakusanya mapato tangu uhuru, Kamanda Mnyika hakusanyi kodi pia ameongoza ubungo huu mwaka wa tatu.Je, mbinu ya CCM kumwandama Mnyika itawasaidia hali wao ndo wanakusanya mapato? Je, wananchi wataidai maji serikali kupitia kwa mbunge Mnyika au watamdai maji Mbunge Mnyika kupitia serikali? I think the propagation team of CCM is too wrong towards their criteria to play with voters mind.
 
Kama alidanganya, atakuwa amewakosea heshima wapiga kura wake.

Hana budi kuwaambia ni kwanini aliwadanganya wakati hakuna uhusiano wowote wa elimu na uwezo wa mtu kuongoza.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwa hiyo wewe unaona raha kusagia wenzako?
 
kuna mambo muhimu ya kuwaeleza wananchi lkn sio majungu ambayo hayasaidii. Watu wazima hovyo...
 
form 4 div 1 pts 7 na A(9) out 10 maua
sec, A level div 1 pts 3 Tambaza sec then
akajiunga chuo (udsm) kamaliza BBA
wakati wakiwa udsm na akina zitto na
mdee walianzisha mtandao wao ulikuwa
unaitwa Tz students netwek prgm(TSNP)
ambayo mara ya mwisho m/kiti alikua
owawa, mmoja kati ya waanzilishi wa asasi
za kijamii kama UNA, TYVA na pia
muanzilishi wa n.g.o inaitwa UDI. Hiyo
kwa kifupi 2. Aligombea ubungo mwaka
2005 mara 2 alipomaliza chuo na akiwa na
umri wa miaka 24. in short ni m2 mwenye
kipaji cha pekee.
 
Umechanganya sana mpaka haueleweki mkuu..hapa naona kuna inferiority complex ya kwako na umemtumia Mnyika kama base...elimu yako ni sawa na ile ya LUKUVI?
 
Ati leo elimu haina tija ilimradi tu kiongozi bora sio kweli akili ndogo haiwezi kuongoza akili kubwa kama ni kweli ilikuwaje hadi adanganye elimu yake, kuna watu kwa kutetea ujinga nahic hata akimkuta chumbani na mkewe haamini atasema alienda kumpa kadi ya chama
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…