NGULI
JF-Expert Member
- Mar 31, 2008
- 4,801
- 643
Katika utafiti uliofanyika unaonyesha katika population ya Tanzania only 10% ndio ina tumia huduma za kibenki. Hata hivyo asilimia hiyo kiduchu haijui au haina Elimu ya mikopo inayotakiwa.
Kwa mfano, Interest rates charged, Mortgage(movable and unmovable),sifa za kupata mkopo, incase of default haki ya kudai restructuring na hata grace period ili ku recover na sio bank/taasisi ya fedha kukimbilia kuuza mali za mteja ambazo ziliwekwa kama thamani/security/collateral.
Incase of death namna ya mkopo kulipika hata kama ulikuwa mkubwa kiasi gani.
Kwa muktasari tu nimegusia maeneo machache katika nyanja ya mikopo ambayo watu wengi hasa wajasiriamali yana watatiza.
Kama kuna mtu ana swali lolote kuhusu mikopo aina yoyote, i.e
1. Retail category, personal (express loans), busness loans from TZS 1m-50m. SME inaweza range from TZS 50m-499m.
2. Corporate Credit Loans with whatever range.