ELIMU YA Mh. NYAMBALI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ELIMU YA Mh. NYAMBALI

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mtanzania haswa, Jun 13, 2011.

 1. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  wadau wenye data kuhusu elimu ya huyu mh. mwageni hapa, napata wasiwasi wa elimu yake pale anapochangia hoja bungeni.
   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Bunge la Tanzania cv yake ni ujuwe kusoma na kuandika basi, hata kama umeishia darasa la tatu.
   
 3. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #3
  Jun 13, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,130
  Trophy Points: 280
  Kwa Uelewa wangu Ana Elimu ya kuunga unga sana inakuwa ni vigumu kujua haswa Elimu Yake.
   
 4. M

  Masauni JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2011
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaa nilisoma naye Mara sec school alikuwa rafiki yangu wa karibu sana ingawa baada ya kumaliza o level yeye alienda shule nyingine na mimi kwenda shule nyingine lakini tuliendelea kuwasiliana na kuwa karibu. O level halikuwa hana uwezo kabisa alichukua masomo ya Art. Lakini alikuwa mwizi mkubwa sana wa mitihani mpaka alituletea matatizo makubwa sana kipindi hicho kwa ajili ya wizi( waliosoma mara sec school 1992-1995 watakumbuka), baada ya hapo alienda Mkwawa aliendeleza ishu yake ya wizi wa mitihani, UDSM nasikia aliendeleza ishu ya kuiba mitihani. UDSM alikuwa anasoma kiswahili.
   
 5. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,828
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  SASA KAMA amesoma kiswahili mbona hakijui?~!!
   
 6. FiQ

  FiQ JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mwizi pia wa haki za watunz mbali mbali wa vitabu, ni mzee wa ku copy na ku paste!
   
 7. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #7
  Jun 13, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  du!nimecheka sana!amesoma kiswahili halafu hakijui!
   
 8. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #8
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  nafikiri ni elimu ya kuunga unga tu yule
   
 9. M

  Mantisa Senior Member

  #9
  Jun 13, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kweli kabisa. Huyu jamaa sisi tulimuita Chavda pale Mar Sec sababu ya wizi wa mitihani. Alikuwa mtupu tu japokuwa alikuwa kiranja wa Kilimo. In short jamaa kichwani hajakaa sawa na uwezi wake ni mdogo sana
   
 10. Juaangavu

  Juaangavu JF-Expert Member

  #10
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 3, 2009
  Messages: 916
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Tehe tehe, wa hivyo atatamani kudesa yale wengine wanayochangia. Kwa mwendo wapiga kura wanapata galasha, tehe tehe.
   
 11. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #11
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  sasa inakuwaje anakabidhiwa dhamana ya uongozi??hivi tufanye nini ili tupate viongozi wanaofaa?
   
 12. M

  Mantisa Senior Member

  #12
  Jun 13, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hii ndo bongoland. Sababu yuko CCM ndo maana ila ukweli jamaa ni mtupu tena sana. Hapo mara kazi yake ilikuwa kulima na kuuzia shule mboga tu hata kama yuko likizo
   
 13. m

  musobogo Senior Member

  #13
  Jun 13, 2011
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 107
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  masauni
  Huyu jamaa nilikuwa naye darasa moja Mara Sec. 1990 -1993. Ni kweli alikuwa anasoma masomo ya art. Namjua vizuri sana kwa wizi wa mitihani. Nilishangazwa kukuta siku moja eti ame-edit vitabu vya kemia. Mungu wangu nilisikitika sana. Huyu aliye kuwa anafeli kemia ya kidato cha 1 na 2 leo ana-edit kitu hicho hicho. Niliahapa mtoto wangu nikimkuta anasoma vitabu vya huyu jamaa nitakichana.
   
 14. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #14
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  teh teh asijekuwa yupo kama yule mwalimu wa kwenye tangazo za haki elimu.UNAZIMA COMPYUTA YAKO ALAFU ITABADILIKA RANGI INAKUWA YA BLUU AU UNA KILIKI
   
 15. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #15
  Jun 13, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mimi nilikuwa sijawahi kumwona, leo nimeshangaa sana maana alichokuwa anaongea hata darasa la saba anaweza kumzidi, kiswahii nacho hoi kabisa.
  Nimewalaumu sana watu wa Tarime kwa kuliacha Jembe la Chadema wakachagua hili debe tupu!

  Kwa jinsi nilivyomwona leo, ni halali watu wa Tarime wampige mawe maana hamna kitu ni zero sifuri!

  Jamaa anaonekana umri siyo mkubwa lakini ameshakuwa mzembe sababu ya tumbo lake kubwa!

  Kwa kweli kama wabunge wa upinzani wakitoka bungeni ni bora tusiwe na bunge maana magamba yanaboa sana!
  Yaani ni sifuri mainazi.
   
 16. Msongoru

  Msongoru JF-Expert Member

  #16
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 306
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  vitabu vyake ni vingi sana! sana! mnapochangia mjue hilo, na ameanza kuandika tangu akiwa 4m 6!
   
 17. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #17
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Yule jamaa ndo ukomboz wa watoto wa kata. Point zake maelezo mistar miwili tu, bas vijana wanavyompenda, ndo chanzo cha zero nyingi sbb darasa zima wanandika point moja maelezo yale yale. Tunaita kizazi cha "Ingwine Ingwine"
   
 18. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #18
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  vipi ana deliver the goods?hili ndiyo swali muhimu,manake kujua/kutokujua kuzungumza Kiswahili sanifu siyo inshu.Anaweza asiwe muongeaji mzuri jukwaani lakini akawa mchapakazi/analeta maendeleo jimboni.Tuache ujinga na kudhani wanaojua kujenga hoja vizuri majukwaani ndiyo vichwa.Tuangalie vitendo/uchapakazi,siyo porojo za majukwaani.
   
 19. Lighondi

  Lighondi JF-Expert Member

  #19
  Jun 13, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 585
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Tupunguze maslahi bungeni. Uongozi uwe ni wa kujitolea zaidi kuliko vile ilivyo sasa.
   
 20. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #20
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,534
  Likes Received: 5,685
  Trophy Points: 280
  Duh! jF inaweza kukubakiza totally completely naked! Nyambala tepetepe!
   
Loading...