Elimu ya mama Mjamzito

Elimu ya mama Mjamzito

Mkuu, huitajiki kufanya mazungumzo ya kuandika, unatakiwa kongea na mtaalamu uso kwa kwa uso.

Ushauri wangu zingatia usafi, na fanya kwenda clinic, kwan clinic unaruhusiwa kwenda siku yoyote pindi utajihis kuwa unalo tatizo.
Sio ya kwanza! Na ya tano mbili ziliharibika na nina watoto wawili

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, huitajiki kufanya mazungumzo ya kuandika, unatakiwa kongea na mtaalamu uso kwa kwa uso.

Ushauri wangu zingatia usafi, na fanya kwenda clinic, kwan clinic unaruhusiwa kwenda siku yoyote pindi utajihis kuwa unalo tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usafi najitahidi Sana tu! Clinic naenda na USS nmefanya ndio wamesema mimba IPO TR ! Asante kwa ushauri inabdi niende Hosp ingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom