Elimu ya mama Mjamzito

Elimu ya mama Mjamzito

Rekebisha lugha
Jukwaa la heshima hili.
mpendwa huyu Suriya ni mtu ambae amejiingiza kwenye masuala ambayo hana ufaham nayo. kuhusiana na kesi yangu nilitegemea naongea na mtaalam ambae angeweza japo kunipa ushauri ukanisaidia hebu sasa ona ancho nijibu hakifanani kabisa na madhumuni ya kutaka kusaidia jamii.
 
mkuu unanijibu hivi kwakuwa hujajua kiundani juu ya tatizo hili.. nimeshafanya utafiti wa kisheria kutaka kujua nini cha kufanya kutokana na tatizo lililotekea. sina uhakika kama wewe ni daktari au umejitolea tu kusaidia jamii kutatua matatizo yao. nikiangalia tu majibu yako ya mwanzo kuna kitu nimegundua juu ya ufahamu wako kwenye tatizo hili.
nimeongea na wanasheria zaidi ya wanne tena wenye ufaham tosha hakuna hata mmoja aliyenijibu kama ulivojibu wewe kwamba daktari hana tatizo as long ni haki yake kutongoza ila kuna kitu hukijui na hukifaham MAADILI YA DAKTARI ungekuwa unaufaham juu ya maadili ungeweza kujibu kwa usahihi juu ya kadhia hii.
kimaadili daktari hakupaswa kufanya alichokifanya kwa sababu ni wagonjwa wangapi wanpita kwake na je akiwatongoza kupia udhaifu tu wa kuwalaghai na hatimae kuwafanyia matendo yasiyopaswa kufanywa na Daktari tena ni BINGWA WA MASUALA YA AFYA YA KINAMAMA NA WATOTO.
mbaya zaidi huyu dr alikuwa anafanya ufuska na mke wangu ndani ya ofisi yake hapo hospitalini na ilifikia wakati mkewangu alikuwa anapinga sana kufanya ufuska ofini kwa dr. mpaka kufikia kumwambia wawe wakiwa na hamu ya kubanjuwana waende kwenye hotel ili wastarehe vizuri. lkn dr mkware alipinga na kumwambia siku akiwa na kiu je ni mpaka amtafute waende gest... mkuu haya nimekumegea tu ambayo niliyoyapata kupitia uchunguzi wangu.
tukija kwenye swali.. NI SAHIHI KWA HUYU DR. MCHAFUZI KUFANYA UFUSKA MPAKA OFISINI ANAKO FANYIA TIBA KWA JAMII?
2. Huyu mke wangu alifikia kumwambia Dr kuwa anataka wakutane wafanye yao kwahiyo siku ya leo APUNGUZE RATIBA YA WAGONJWA atakaowafanyia oparesheni yaani kama ni wagonjwa 10 aliopangiwa basi afanye yaani atibie wagonjwa wa5 tu ili wapate muda wakwenda kufanya ufuska wao.
HOSPITAL inaweza kukubali ujinga huu? je hapa utaniambia kuwa Dr bado hana makosa kwa ufahamu wako??
cc: Hornet
 
Mkuu mimi ni jinsia moja na wew.
Mimi sio mwanamke
Ndio maana niliona unanihoj kama vile unanipa kazi, kumbe ulifikili mimi msichana,

Mkuu mimi ni mwanaume.
ok asante mpaka hapa nimeshakuona wewe ni mtoto umeingilia mambo usiyoyajua kabisaa. subiri uolewe yakukute

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu haya maelezo ni wazi umekuja kuyatoa wakati huu.

Hukua umenieleza mwanzo ndio maana nikakwambia hivo.

Ila kama alifanya kitendo hicho katika mazingila ya kazi, basi HUYO DAKTARI NI KWELI KAFANYA MAKOSA.

NA SHAHIDI WA KWANZA WA KOSA HILO NI HUYO MKE WAKO.

Huyo daktari lazima aukumiwe kama mkewako akiwa tayar kutoa ushahid huo.
mkuu unanijibu hivi kwakuwa hujajua kiundani juu ya tatizo hili.. nimeshafanya utafiti wa kisheria kutaka kujua nini cha kufanya kutokana na tatizo lililotekea. sina uhakika kama wewe ni daktari au umejitolea tu kusaidia jamii kutatua matatizo yao. nikiangalia tu majibu yako ya mwanzo kuna kitu nimegundua juu ya ufahamu wako kwenye tatizo hili.
nimeongea na wanasheria zaidi ya wanne tena wenye ufaham tosha hakuna hata mmoja aliyenijibu kama ulivojibu wewe kwamba daktari hana tatizo as long ni haki yake kutongoza ila kuna kitu hukijui na hukifaham MAADILI YA DAKTARI ungekuwa unaufaham juu ya maadili ungeweza kujibu kwa usahihi juu ya kadhia hii.
kimaadili daktari hakupaswa kufanya alichokifanya kwa sababu ni wagonjwa wangapi wanpita kwake na je akiwatongoza kupia udhaifu tu wa kuwalaghai na hatimae kuwafanyia matendo yasiyopaswa kufanywa na Daktari tena ni BINGWA WA MASUALA YA AFYA YA KINAMAMA NA WATOTO.
mbaya zaidi huyu dr alikuwa anafanya ufuska na mke wangu ndani ya ofisi yake hapo hospitalini na ilifikia wakati mkewangu alikuwa anapinga sana kufanya ufuska ofini kwa dr. mpaka kufikia kumwambia wawe wakiwa na hamu ya kubanjuwana waende kwenye hotel ili wastarehe vizuri. lkn dr mkware alipinga na kumwambia siku akiwa na kiu je ni mpaka amtafute waende gest... mkuu haya nimekumegea tu ambayo niliyoyapata kupitia uchunguzi wangu.
tukija kwenye swali.. NI SAHIHI KWA HUYU DR. MCHAFUZI KUFANYA UFUSKA MPAKA OFISINI ANAKO FANYIA TIBA KWA JAMII?
2. Huyu mke wangu alifikia kumwambia Dr kuwa anataka wakutane wafanye yao kwahiyo siku ya leo APUNGUZE RATIBA YA WAGONJWA atakaowafanyia oparesheni yaani kama ni wagonjwa 10 aliopangiwa basi afanye yaani atibie wagonjwa wa5 tu ili wapate muda wakwenda kufanya ufuska wao.
HOSPITAL inaweza kukubali ujinga huu? je hapa utaniambia kuwa Dr bado hana makosa kwa ufahamu wako??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hakuma mahali ambapo mimi nimekujibu vibaya Hornet angekua kaona najua lazima angenikosoa tu, namuheshimu Hornet sana
mpendwa huyu Suriya ni mtu ambae amejiingiza kwenye masuala ambayo hana ufaham nayo. kuhusiana na kesi yangu nilitegemea naongea na mtaalam ambae angeweza japo kunipa ushauri ukanisaidia hebu sasa ona ancho nijibu hakifanani kabisa na madhumuni ya kutaka kusaidia jamii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu haya maelezo ni wazi umekuja kuyatoa wakati huu.

Hukua umenieleza mwanzo ndio maana nikakwambia hivo.

Ila kama alifanya kitendo hicho katika mazingila ya kazi, basi HUYO DAKTARI NI KWELI KAFANYA MAKOSA.

NA SHAHIDI WA KWANZA WA KOSA HILO NI HUYO MKE WAKO.

Huyo daktari lazima aukumiwe kama mkewako akiwa tayar kutoa ushahid huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
umeanza kujitambua?!!
wewe umejitolea kusaidia jamii kwa ushauri .. sasa yale matusi ndio ushauri wako ulionao au
 
Mkuu mimi sijatukana,
Kuna mahar nimeandika tusi kukutukana???

Najua nilichokosolewa ni kwamba nimetumia lugha nzito, nilipaswa kupumguza ukali wa maneno.

But samahan sana mkuu, halikua dhumun langu.

Close that chapter
Tuendelee na dhumuni la mada

Read in between lines
 
Mim nimalizie tu na kusema, ulivo toa hayo maelezo kwa urefu.

Ni kweli huyo daktari kafanya makosa.

NENDA KAMSHITAKI KABISA, Sheria lazima itamfunga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimu kuhusu mama mjamzito wakati wa mimba hadi wakati wa kujifungua.

Uliza swali lako madactari watatoa majibu.

PVView attachment 983336

Sent using Jamii Forums mobile app
Salaam! Nna ujauzito week 15 napata maumivu kwenye kinena hapa chini na mwisho wa mapaja humu kunapotokaga mitoki! Maumivu nayaskia pale ninapotembea mwendo mfupi tu! Nilifanya ultrasound wakasema mtoto amekaa TR hivyo nirud mwez ujao!
Hii ni normal drs. Maana naumia natembea km mlemavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimba ya kwanza?

Back
Top Bottom