GAMBLER
JF-Expert Member
- Nov 22, 2009
- 303
- 12
Mara nyingi huyu katibu mkuu wa ccm amekuwa akiongea pumba sana katika matamshi yake.Mpaka juzi tu amewaita wehu baadhi ya washiriki ktk kongamano la Taasisi ya mwalimu Nyerere. Sasa nimekuwa ninashuku kuhusu kiwango cha elimu alichokuwa nacho huyu bwana? Yeyota mwenye data kuhusu elimu ya makamba amwage...