coco bella
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 305
- 315
Nina miaka mitatu kazini, ninapata mshahara mzuri sana ila sielewi mshahara wangu unaishaje, siwezi kutunza fedha kabisa, mshahara ukiingia utafikiri napandwa na wazimu kila kitu nitataka ninunue ukiisha akili inakaa sawa. Nisaidieni jamani mwenye uelewa na mambo ya saving anifundishe jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app