Elimu ya kurithi ilivyoua uwezo wetu

Elimu ya kurithi ilivyoua uwezo wetu

Alloyce PR

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2020
Posts
590
Reaction score
706
“Tumesoma historia tukafundishwa kuwa asili yetu ni sokwe, na hata katika mitihani unatakiwa kukiri simulizi hilo bila kuhoji. Kwa mwelekeo huo wa kufikiri usioacha nafasi ya tafakuri huru, ungetarajia kweli kupata mvumbuzi au mgunduzi? Badala yake tunazalisha vijana wanaoamini uzungu ni kipimo cha akili na uafrika ni alama ya upungufu.

Elimu ya aina hiyo imelea jamii inayokubali kila kinacholetwa bila kuchambua, jamii inayofuata mkumbo bila utashi. Matokeo yake, wengi hujenga fikra zinazofanana; na yeyote anapothubutu kufikiri tofauti huambiwa: ‘Kama mzungu ameshindwa, wewe utaweza wapi?’ Hapo ndipo tunapopaswa kujiuliza tatizo ni uwezo wetu, au namna tulivyofundishwa kuutazama uwezo huo?”
— Alloyce, P.R.

5c51c35a-106a-4783-9e3f-0e359d6d968d.png
 
Nakubaliana na kauli ya "Mwafrika ni kima aliyechangamka". Na yule kaburu Peter Botha alikuwa sahihi aliposema Waafrika hatuwezi kujitawala wenyewe.

Anayofanyiwa Tundu Lissu (na mifano mingine mingi) yanathibitisha hilo. Mtu mwenye akili timamu unawezaje kumtendea mtu vile? Kuweka mashahidi kwenye kibanda cha njiwa ni sawa? Blacks are really half-humans.
 
Hakuna sehemu sayansi 'elimu ya mzungu' inayosema mwanadamu alitokana ns sokwe, walimu wenu wa UPE waliwapoteza.

sisi waafrika bongo zetu zina shida ndio maana matatizo yetu yote tumeshindwa kuyatafutia ufumbuzi
 
Nakubaliana na kauli ya "Mwafrika ni kima aliyechangamka". Na yule kaburu Peter Botha alikuwa sahihi aliposema Waafrika hatuwezi kujitawala wenyewe.

Anayofanyiwa Tundu Lissu (na mifano mingine mingi) yanathibitisha hilo. Mtu mwenye akili timamu unawezaje kumtendea mtu vile? Kuweka mashahidi kwenye kibanda cha njiwa ni sawa? Blacks are really half-humans.
Duh! Kwa bahati mbaya simjui huyo Tundu Lissu ndugu.
 
“Tumesoma historia tukafundishwa kuwa asili yetu ni sokwe, na hata katika mitihani unatakiwa kukiri simulizi hilo bila kuhoji. Kwa mwelekeo huo wa kufikiri usioacha nafasi ya tafakuri huru, ungetarajia kweli kupata mvumbuzi au mgunduzi? Badala yake tunazalisha vijana wanaoamini uzungu ni kipimo cha akili na uafrika ni alama ya upungufu.

Elimu ya aina hiyo imelea jamii inayokubali kila kinacholetwa bila kuchambua, jamii inayofuata mkumbo bila utashi. Matokeo yake, wengi hujenga fikra zinazofanana; na yeyote anapothubutu kufikiri tofauti huambiwa: ‘Kama mzungu ameshindwa, wewe utaweza wapi?’ Hapo ndipo tunapopaswa kujiuliza tatizo ni uwezo wetu, au namna tulivyofundishwa kuutazama uwezo huo?”
— Alloyce, P.R.

View attachment 3545461
" Africans are not fully developed humans,give them weapons and they will kill each other like animals"

NIlipinga,ila kilichotokea!
 
Basi sawa.

Ila ukiangalia tu jinsi Viongozi wa Africa wanavyofuja mali na raslimali za umma ukilinganisha na wenzao Wazungu, utaamini Mwafrika ni nyani.
Wewe ni mzungu?

Kwani walioanza kunyonya bara la Afrika walikuwa wazungu au Waafrika?

Ambao wameleta dini za kusababisha umaskini uliokithiri kwa kigezo cha toa ndugu, walikuwa ni waafrika au wazungu?

Dhana ya kikundi cha watu fulani kufanya uovu sio la kuwavisha watu wote. Jinsi unavyosema waafrika ni nyani hapo inamaanisha na babu zako pia ni nyani na ndio wakakupata wewe nyani. Pole.
 
" Africans are not fully developed humans,give them weapons and they will kill each other like animals"

NIlipinga,ila kilichotokea!
Weapons are manufactured primarily for protection, hunting, and warfare, serving as tools to gain a physical, tactical, or strategic advantage over adversaries. Historically, they evolved to increase safety when dealing with threats, while modern development focuses on national security, deterring aggression, and maintaining, or shifting, power dynamics.

Primary Reasons for Weapons Production:
  • Defense and Security: Weapons are created to protect individuals, communities, and nations from threats.
  • Conflict and Warfare: They are designed to attack, subdue, or kill enemies, or destroy property.
  • Hunting and Survival: Early, and some modern, tools are designed to catch food efficiently and safely.
  • Deterrence: Developing advanced weapons can prevent other countries from attacking, fostering a "peace through strength" approach.
  • Strategic Advantage: Countries produce their own weapons to ensure they are not reliant on others and to maintain a competitive edge in military technology.
  • Technological Advancement: The desire for better performance in combat drives innovation in engineering and material sciences.
Weapons are fundamentally tools for maximizing force while minimizing risk to the user.
 
Wewe ni mzungu?

Kwani walioanza kunyonya bara la Afrika walikuwa wazungu au Waafrika?

Ambao wameleta dini za kusababisha umaskini uliokithiri kwa kigezo cha toa ndugu, walikuwa ni waafrika au wazungu?

Dhana ya kikundi cha watu fulani kufanya uovu sio la kuwavisha watu wote. Jinsi unavyosema waafrika ni nyani hapo inamaanisha na babu zako pia ni nyani na ndio wakakupata wewe nyani. Pole.
Kwani wao Waafrika walikatazwa kupeleka dini yao Ulaya Uarabuni? Kama walijaribu na kushindwa huo ndo unyani wenyewe. Maana nyani hana uwezo mbele binadamu.
 
Tafakuri huru ni nzuri, lakini haiwezi kuondoa ukweli usiopingika(facts). Binadamu hajatokana na jamii ya sokwe tu, binadamu ni jamii ya sokwe(primate).

Hatuwezi kujenga jamii inayojitambua kwa kupuuza sayansi makini.

Vile vile uvumbuzi hautokani na elimu tu, unatokana na mifumo wezeshi kama uwekezaji kwenye tafiti, sera za viwanda nk.
 
Nakubaliana na kauli ya "Mwafrika ni kima aliyechangamka". Na yule kaburu Peter Botha alikuwa sahihi aliposema Waafrika hatuwezi kujitawala wenyewe.

Anayofanyiwa Tundu Lissu (na mifano mingine mingi) yanathibitisha hilo. Mtu mwenye akili timamu unawezaje kumtendea mtu vile? Kuweka mashahidi kwenye kibanda cha njiwa ni sawa? Blacks are really half-humans.
Adolf Hitler, a European, aliongoza vita iliyoua wat million 6 kikatili, ikiwemo kufungia watu ndani ya vyumba vya sumu.

Europeans wameiba mabara ya Americas kinguvu na kuua asilimia 90 ya wakazi wake, kwa kuwawinda kama wanyama, kuwageuza watumwa na kwa magonjwa yao.

Europeans walikuja Africa, wakagombanisha mababu zetu na kuwachukua watumwa, wakawafanyisha kazi ngumu na kuchukua matunda ya nguvu zao ndani ya ardhi yao wenyewe na vilevile wakawauza na kuwasafirisha kwao kama wanyama, ambako waliwazidishia mateso.

Wajapani walibaka, waliua, walitesa na kutawala waasia wenzao kinguvu bila ya huruma. Kuna video zinaonyesha picha wakikata wenzao kutoka nchi jirani vichwa na kuchoma watoto wachanga na majambia kwa kuwarusha juu na kuwachomeka kama nguruwe.

Je hayo matendo ya hizo races mbili ni ya watu wenye akili timamu au binadamu kamili mbele yako? Kwa ulichokisema bila shaka ni hapana.

Lakini bado unadiriki kujiita "kima aliyechangamka" msemo ambao bila shaka ni zao la watu hao waliotekeleza matendo ya kinyama zaidi kwenye historia ya dunia. Nikikuangalia wewe binafsi, huo msemo unakulenga kwa asilimia 100. Natumaini uzao wenu upo ukingoni barani hapa.

Watu wanaojidharau bila kufikiria wananisikitisha sana.
 
" Africans are not fully developed humans,give them weapons and they will kill each other like animals"

NIlipinga,ila kilichotokea!
They'll kill each other like animals? Kama walivyanya Europeans kwenye vita vya 1-2 vya dunia? Au kama wanavyofanya Urusi na Ukraine, USA na Arabians, na Israel na Palestinians?

Wewe unayejiita mnyama unapigana na nani sasa hivi hapo ulipo?
 
Kuhusu binadamu kuwa na asili ya sokwe au katokana na sokwe, sio kweli kabisa. Hapo naona umechanganya mafaili.

Bali binadamu wote wa leo ikiwemo Waafrika, Waeuropeans na Waasia pamoja na sokwe. Wame-evolve from a common ancestor ambaye hakuwa sokwe wala binadamu, aliyeishi miaka million 30 iliyopita. Then descendants wa huyo ancestor wakaevolve tofauti ndani ya mamilion ya miaka kuelekea kuwa binadamu na sokwe. Hao binadamu waliendelea kuevolve mpaka kufikia modern humans na wale sokwe walifanya vivo hivyo mpaka kufikia kuwa sokwe wa leo.

Kiufupi: Binadamu alitakiwa kuwa binadamu na sokwe alitakiwa kuwa sokwe.

Kwa maana hiyo binafamu hawezi kuwa na asili ya sokwe. Ni misconception ambayo walimu wenyewe wameshindwa kuielezea vizuri. Matokeo yake unapata maswali kama "kwanini sokwe wa leo hawageuki kuwa binadamu?" Jibu ni hawawezi kuwa binadamu sababu wao ni sokwe na evolution yao imeishia hapo, kama vile binadamu asivyoweza kuwa sokwe.

A sensible question based on misconception. Nailaumu ile picha ya kitabu cha darasa la nne au la tano nadhani.
 
Adolf Hitler, a European, aliongoza vita iliyoua wat million 6 kikatili, ikiwemo kufungia watu ndani ya vyumba vya sumu.

Europeans wameiba mabara ya Americas kinguvu na kuua asilimia 90 ya wakazi wake, kwa kuwawinda kama wanyama, kuwageuza watumwa na kwa magonjwa yao.

Europeans walikuja Africa, wakagombanisha mababu zetu na kuwachukua watumwa, wakawafanyisha kazi ngumu na kuchukua matunda ya nguvu zao ndani ya ardhi yao wenyewe na vilevile wakawauza na kuwasafirisha kwao kama wanyama, ambako waliwazidishia mateso.

Wajapani walibaka, waliua, walitesa na kutawala waasia wenzao kinguvu bila ya huruma. Kuna video zinaonyesha picha wakikata wenzao kutoka nchi jirani vichwa na kuchoma watoto wachanga na majambia kwa kuwarusha juu na kuwachomeka kama nguruwe.

Je hayo matendo ya hizo races mbili ni ya watu wenye akili timamu au binadamu kamili mbele yako? Kwa ulichokisema bila shaka ni hapana.

Lakini bado unadiriki kujiita "kima aliyechangamka" msemo ambao bila shaka ni zao la watu hao waliotekeleza matendo ya kinyama zaidi kwenye historia ya dunia. Nikikuangalia wewe binafsi, huo msemo unakulenga kwa asilimia 100. Natumaini uzao wenu upo ukingoni barani hapa.

Watu wanaojidharau bila kufikiria wananisikitisha sana.
Umetoa ufafanuzi mzuri sana.🙏🙏🙏🙏🙏
 
Kuhusu binadamu kuwa na asili ya sokwe au katokana na sokwe, sio kweli kabisa. Hapo naona umechanganya mafaili.

Bali binadamu wote wa leo ikiwemo Waafrika, Waeuropeans na Waasia pamoja na sokwe. Wame-evolve from a common ancestor ambaye hakuwa sokwe wala binadamu, aliyeishi miaka million 30 iliyopita. Then descendants wa huyo ancestor wakaevolve tofauti ndani ya mamilion ya miaka kuelekea kuwa binadamu na sokwe. Hao binadamu waliendelea kuevolve mpaka kufikia modern humans na wale sokwe walifanya vivo hivyo mpaka kufikia kuwa sokwe wa leo.

Kiufupi: Binadamu alitakiwa kuwa binadamu na sokwe alitakiwa kuwa sokwe.

Kwa maana hiyo binafamu hawezi kuwa na asili ya sokwe. Ni misconception ambayo walimu wenyewe wameshindwa kuielezea vizuri. Matokeo yake unapata maswali kama "kwanini sokwe wa leo hawageuki kuwa binadamu?" Jibu ni hawawezi kuwa binadamu sababu wao ni sokwe na evolution yao imeishia hapo, kama vile binadamu asivyoweza kuwa sokwe.

A sensible question based on misconception. Nailaumu ile picha ya kitabu cha darasa la nne au la tano nadhani.
Maelezo mazuri sana🙏🙏🙏🙏
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom