Elimu ya internet dish.,

Elimu ya internet dish.,

Al-shabaab

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
1,791
Reaction score
620
Habarini wana jftech.,
napenda kufahamu machache juu ya haya madish mbalimbali ya kuaccess internet mfano wa hayo madish ni yale yanayopatikana kwenye mabenk mbalimbali.
napenda kujua vitu kadhaa kutoka kwenu wana technolojia
1.ukilihitaji unalinunua au linapatikana wapi hapa tanzania? Na gharama zake zikoje kulinunua mpaka kulifunga.
2.yanafanyeje kazi? Au yanakua na service provider mmoja anayetoa huduma kwa yote? Au unalipia sehemu fulani?.
3.yanapata signal kutoka wapi? Je ni kwenye satelite au sehemu gani?
4.je linaweza kumilikiwa na mtu binafsi au lazima iwe shirika au taasisi tu?

natumaini nitapata elimu tosha juu ya maswali niliyouliza pia kwa wenye maswali zaidi mnaweza uliza kwa faida ya wote tukapata ufahamu zaidi.
 
1. Ndio mtu binafsi anaweza kumiliki
2. Ndio kwenye satelite
3. Ndio kuna service provider just google tanzania satelite internet au east africa satelite internet watakuja kibao

4. Gharama ni around milioni au karibu na hapo na speed ni mbovu kushinda 3g, kwa mtu binafsi mi naona hailipi.


Jana nimetumia internet ya simbanet ya fiber, maisha yangu yote sijawahi tumia internet yenye low latency kama ya hawa simba, ilikuwa na latency ya 2ms tu. Na speed walikuwa wameicap 5mbps.

Kama upo serious waone hawa simbanet wanazo pia satelite internet kama still unataka
 
Asante sana Chief-Mkwawa ninampango wa kufunga nyumbani kwangu hapo mbeleni
-hao simbanet nimewacheki kwenye website yao wanasema wanapatikana karibia miji mikubwa yote sasa mimi nipo mkoani sijui ntawapata vipi?
 
Last edited by a moderator:
Asante sana Chief-Mkwawa ninampango wa kufunga nyumbani kwangu hapo mbeleni
-hao simbanet nimewacheki kwenye website yao wanasema wanapatikana karibia miji mikubwa yote sasa mimi nipo mkoani sijui ntawapata vipi?
Nafkiri mikoani wana 3g tu. Eneo ulipo hakuna 3g?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom