Elimu ya bure

Elimu ya bure

Hesabu siku nne kuanzia ile siku ya kwanza anayoanza siku zake. Au siku nne kabla ya kuanza siku zake. Kwa hiyo hapo unatakiwa ucheze na siku zake za hedhi. Kama njia hii ukiona ngumu jaribu siku za jumapili hakuna mimba inayoingia jumapili.
 
teeh, teeehh!!!
mimba za jumapili hazipo kweli?
 
We dogo ushaangalia shule uliopangiwa lakin??
 
Hesabu siku nne kuanzia ile siku ya kwanza anayoanza siku zake. Au siku nne kabla ya kuanza siku zake. Kwa hiyo hapo unatakiwa ucheze na siku zake za hedhi. Kama njia hii ukiona ngumu jaribu siku za jumapili hakuna mimba inayoingia jumapili.

aaaah ni kwel jumapili mimba haiingi mkuu
 
Labda mleta mada asingeandika "elimu ya bure"labda ingekuwa ya kulipia watu wangeandika vya maana.
 
Back
Top Bottom