munirah
JF-Expert Member
- Mar 13, 2015
- 551
- 224
Tembo ni mnyama wa mwituni katika kundi la wanyama walao majani! Mnyama huyu ana mengi ya kufahamu yenye kuburudisha kufundisha na kutoa miongozo ya jinsi gani mazingira tunayoishi yanaweza kubadilika kutokana na uwepo wao! Hata hivyo tumekuwa tukifahamu machache kuhusu tembo! Katika uzi huu naruhusu uniulize swali au maswali kumuhusu mnyama tembo na nitajibu kadri ambavyo itapasa! Karibu sana