Dah Shukran Sana Mkuu Ila Nimescan, Hadi Nimefactory Reset Lakini Wapi, Na Kinachonishangaza Nikipeleka Kwa Mwingine Kinaonyesha Vizuri Tu na Nikichukua King'amuzi cha Mwingne nacho kwangu kinaonesha Vizuri tu
*Jmn hv kuna mtu app ya azamTv inaonesha inaonesha chanel za mpira kama sport hd na azam sport 2 hasa mchezo wa simba na mashujaa maana kwangu nina kama mwezi hazioneshi wananiandikia eti wapo kweny maboresho ya app, hv ni kwangu tu au na kwenu pia hazionyeshi??*