amilyroley
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 621
- 1,200
Huyu jamaa nilikiwa najifikiria mbona anatukana hajui kujenga hoja na anaropoka tu? Nilikuwa na maswali mengi sana juu ya IQ yake. Nikafuatilia sana. Daaaaaaaaaaaaaahhhh kumbe elimu yake ni kichekesho. Mwacheni aropoke. Kule kwetu Manyovu mkoani Kigoma tunaiita Ngumbaro