Elimu ya A-level ni kupoteza muda na malengo

Elimu ya A-level ni kupoteza muda na malengo

Elimu ya Tanzania inahitaji marekebisho.Kwanza choice sio nyingi.Kungekuwa na somo la Accounting,Economics,Psychology na masomo mengine,kuanzia ngazi ya chini,watu wangekuwa na choices nyingi,na pia ingetoa wasomi waliotukuka,ambao wanaweza kuajiriwa au kujiajiri,sio mtu anaenda kusoma Accounting and Finance,wakati hata excel hajawahi kufungua lol,halafu mnataka watu wajiajiri how?km hawana elimu ya kutosha?Elimu yetu iendane na dunia inavyobadilika,sio syllabus ya Enzi za mkoloni,sio lazima kusoma ma PCB,PCM,wastage of time.
Wazo mujarab
 
Tatzo wabongo tunakariri shule ni kusoma...!!shule n kukutana na watu na kuish nao....masomo ni kujifunza....lkn kikubwa mashuleni twajifunza kujuana na watu...!!katika watu milion 10 ulojuana nao wakat unasoma yupo mmoja atakusaidia

Mfano:
Mimi juzi tu...mtu ambaye nimesoma nae A-level(tena hatukumaliza nae...alihama...ila kipindi cha miezi mi3 tuliishi vizurii)....!!kanipa dili la milion 6...!!

Na je kama nisiingeenda Alevel hlo dili lingtokea wapii??
 
Sio Kweli mm sikufeli lkn najilaumug san kwenda advanc .........advance inachelewesh vijana na wengi huenda kusom kwa ajili ya sifa au kutokujua...Kuna kujana kamaliza mwaka huu diploma ya umeme DIT kabla ya matokeo koamba Kazi kiwanda flani hv kwa tokeo la mwaka wa pili now yupo anakula LAKI8 kwa mwenz ajafika hata 24 na diploma Juu ajila mkononi akipiga Kazi miaka 3 hafu ajiendeleze....vp wenzie walioenda advance nan kapoteza?????
Wengi wanao support kutoenda advance ni wale waliofail form six wakashindwa kujiunga na chuo kikuu...Advance elimu yake ni for two years ukifaulu ndo unaenda chuo kikuu kuchukua degree,ila ukimaliza form four ukaenda diploma you will study for three years then ndo uende chuo kikuu,so wale tuliochemsha form six inabidi turudi kusoma diploma ili tusome degree so wanaona bora angeenda diploma moja kwa moja
 
Ndugu kuna kitu kinaitwa destiny....!!kila.mtu ana njia yake na wakat wake wa kufanikiwa...kuna wengine wamefanikiwa baada ya kuacha chuo...!!

Hapa atatokea na aloishia stndrd 7 nae atasema Olevel n kupoteza mda

Mwishowe tutasema elim haina faida

Back
Top Bottom