Sio mbunge tu waziriwakati unaweza kuishia darasa la saba ukajiunga uvccm ukapiga fitna na majungu ukawa mbunge
Sio wote wanapitia huo mlolongoNursery miaka 2
Primary miaka 7
Secondary miaka 4
Advance miaka 2
Chuo miaka 3
Kujitolea miaka 2
Jumla miaka 20 upo shuleni leo huyu mtu ni MASKINI