KishimbaJr
Member
- Jul 25, 2022
- 75
- 64
Wakuu Habarini Za Mchana, Naomba Niende Moja Kwa Moja Kwenye Mada, Naomba Kupewa Elimu Na Ushauri Sahihi Juu Ya Uwekaji Wa Madirisha Ya Aluminium, Faida Zake Na Hasara Zake, Pia Ni Kwann Wengine Wanaripoti Kwamba Mbu Wanaingia Kwenye Madirisha Hayo?
Na Je Ni Taratibu Zipi Za Kufuata Katika Uwekaji Wa Madirisha Hayo Ili Kuwa Imara Na Kudumu Kwa Muda Mrefu Bila Kero Zozote Hususani Kwa Madirisha Makubwa Ya Futi 8 Na Kuendelea. Naomba Kuwasilisha
Na Je Ni Taratibu Zipi Za Kufuata Katika Uwekaji Wa Madirisha Hayo Ili Kuwa Imara Na Kudumu Kwa Muda Mrefu Bila Kero Zozote Hususani Kwa Madirisha Makubwa Ya Futi 8 Na Kuendelea. Naomba Kuwasilisha