Elimu na mahusiano

gpblaze

JF-Expert Member
Jun 25, 2011
304
14
Ok lakini mbona mambo mengi tunayopitia masomoni nahisi kama tunapotaka kuyatumia kwenye maisha halisi ya mahusiano inashindikana. Mfano wanawke wagumu sana ku adopt mambo ambayo yamekaa kishule shule[hii inakuwaje
 

mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
20,837
27,477
mhm mwana wala usichukuwe hawa dada waliokuwa magraduates...full matatizo, haki sawa kwa wote, full bbm wakati unaongea nae, mara sijui ladies nyt out ilimradi tuu vituko. bora uchukuwe wa form four mwana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom