"Elimu na connection" ni kama binadamu na ngozi yake.

"Elimu na connection" ni kama binadamu na ngozi yake.

Right Marker

Senior Member
Joined
Apr 30, 2018
Posts
194
Reaction score
624
"ELIMU NA CONNECTION" NI KAMA BINADAMU NA NGOZI YAKE.

Salaam kwa wasomi...
Salaam kwa mliopo Vyuoni...
Nawasalimu kwa jina la "elimu na connection" - Itika "Mtaani kugumu".


Tusiwanyime ubuyu wadogo zetu waliopo vyuoni. Sikuhizi "elimu na connection" ni kama binadamu na ngozi yake. Kumtenganisha binadamu na ngozi yake utamsababishia umauti (kifo), ndivyo ilivyo kwa mtu mwenye elimu asiyekuwa na connection mjini.

Kwa sasa ni ngumu kutenganisha hivi vitu viwili (elimu na connection), elimu bila connection ni sawa na binadamu aliyechunwa ngozi yake yote kisha akapewa nafasi nyingine ya kuishi.

Right Marker
Dar es salaam.
 
Back
Top Bottom