Elimu kuhusu majini kabla ya binadamu

Elimu kuhusu majini kabla ya binadamu

Ila mm nae natafuta ugomvi.
Nilitakiwa kukaa kimya.

Mtume Mohamed alikuwa Binadamu.
Ila alikuwa na majini.

Sasa hoja ya kutokufuga majini hapa haipo.

Maana Kama anaweza kuongea na majini. Basi jua na yeye pia ana majini.

Simple as that.

Mtu akikuroga ina maana anakutupia majini wachafu.
Ref majini waliotumwa kwa suleiman.

Na Mtume alirogwa. Na alitupiwa majini(hao majini wabaya unaosema)

Sasa Hoja yangu.
Baada ya mtume kurogwa
Ni Nani aliwatoa hao majini kwake?.

Ili tujue yale aliyokuwa anaongea kwa maswahaba na kuita Quran kwamba sio ya huyo Jini mbaya. (Mnaemwita Shetan kwenye Quran).

Cc
Al-mukheef
Munch wa annabelletz47

Kama Quran inasema Suleiman alisaidiwa na Majini

Quran 21: 81 -82
"Na tukamsahilishia Suleiman upepo wa kimbunga wendao kwa amri yake kwenye ardhi tuliyo ibarikia. Na Sisi ndio tunao jua kila kitu.
Na pia mashet'ani wanao mpigia mbizi na kufanya kazi nyenginezo. Na Sisi tulikuwa walinzi wao."

Tutakataaje kusema kuwa Shetan kamsaidia Mohamed kuandika Quran.

Najua ww hutaweza kujibu.
Ila soma haya ya dini yako uilewe Quran Covax
 
Quran 55:56
"Humo watakuwamo wanawake watulizao macho yao; hajawagusa mtu kabla yao wala jini.

Kumbe Majini hayo pia yana wanawake.
Na yana fanya mapenz kama watu.

Ila hapa Majini yameubwaa ili kupotosha na kushirikiana na binadamu.👇👇👇

Quran 6:128
"Na ile Siku atapo wakusanya wote awaambie: Enyi makundi ya majini! Hakika nyinyi mmechukua wafuasi wengi katika wanaadamu. Na marafiki zao katika wanaadamu waseme: Mola Mlezi wetu! Tulinufaishana sisi na wao. Na tumefikia ukomo wetu ulio tuwekea. Basi Mwenyezi Mungu atasema: Moto ndio makaazi yenu, mtadumu humo, ila apendavyo Mwenyezi Mungu. Hakika Mola wako Mlezi ni Mwenye hikima, na Mwenye kujua"
Bado sijaona hoja hapo
 
Nikisoma hizi mada nazidi kuwaogopa hawa masheikh......Hao sio watu wa kuishi nao pamoja aiseee
 
Swali linasema Je majini walitegemea Vitabu mnayoamini?

Hoja zangu nataka zijibiwe kwa Torati, zaburi na injili yaani vile vitabu mlivyoambiwa mkaulize kwa waliokuwa kabla yenu

Pia unaweza kujibu kwa historia na vitabu kabla ya Muhammad

Nakubali maandiko yote isipokuwa Quran sababu inapingana na vitabu vilivyotangulia
Kabla sijaenda mbele nataka tukubaliane hapa majini wametokea wapi ili tusifanganye mambo ( asili ya majini ni Nini) Kwa mujibu ya hizo vitabu vya mwanzo zabur, tourat na agano la kale (injili)
 
Kabla sijaenda mbele nataka tukubaliane hapa majini wametokea wapi ili tusifanganye mambo ( asili ya majini ni Nini) Kwa mujibu ya hizo vitabu vya mwanzo zabur, tourat na agano la kale (injili)
Kwanza kabisa, Biblia haijawahi kutaja kwamba kuna viumbe vinaitwa majini walioumbwa na Mungu. Hilo ni fundisho lililoletwa na Uislamu baadaye. Biblia inatufundisha hivi👇👇

Katika Mwanzo 1–2, Mungu aliumba mbingu na dunia na vyote vilivyomo ndani yake. Hakuna mahali popote panaposemwa aliumba majini. Kuna malaika, kuna wanadamu, na kuna wanyama.

Biblia inafundisha kuwa mapepo ni malaika waliomuasi Mungu.

Ufunuo 12:7-9 → “Kulikuwa na vita mbinguni… Lusifa (shetani) akatupwa chini pamoja na malaika zake.”

Hawa malaika waasi ndio Biblia inawaita mapepo au roho wachafu (Mathayo 8:16, Marko 5:12-13).
Kwa hiyo, kile ambacho Uislamu unaeleza kama majini, Biblia inakifafanua kuwa ni malaika waliomuasi yaani mapepo.

Zaburi mara kadhaa inaonyesha kuwa kuna “miungu ya uongo” ambayo watu waliabudu, lakini kimsingi hiyo ni kazi ya mapepo.

Zaburi 106:37: “Wakawatoa wana wao na binti zao wakawatoa kafara kwa mashetani.”

Hapa Biblia inataja moja kwa moja “mashetani” (mapepo), kimsingi Hawa ndio majini ,kama umewahi kukutana na mtu mwenye majini ndio wale wale wakristo wanasema ana mapepo,

Yesu mara nyingi alikutana na mapepo:

Marko 1:34: “Akawaponya wengi waliokuwa na magonjwa mbalimbali, akatoa pepo wengi.”

Luka 8:30: Yesu anamhoji mtu aliyekuwa na pepo wengi, akajibu: “Jina langu ni Jeshi, kwa kuwa pepo wengi wameingia ndani yangu.”

Hii inaonyesha wazi kwamba Biblia haitambui neno “majini” maana hili neno asili yake ni arabuni,, bali inafundisha juu ya mapepo (roho wachafu) na malaika wa Mungu.
 
Agano la kale au tanakh kwa wayahudi haitambui kama kuna malaika alieasi, malaika ni watiifu wote hiyo ya kuasi umeitoa wapi
 
Agano la kale au tanakh kwa wayahudi haitambui kama kuna malaika alieasi, malaika ni watiifu wote hiyo ya kuasi umeitoa wapi
Isaya 14:12–15

“Jinsi ulivyoshuka kutoka mbinguni, Ee nyota ya asubuhi, mwana wa mapambazuko! Umeanguka chini mpaka nchi, wewe uliyekuwa ukiukosesha mataifa! Wewe ulisema moyoni mwako, 'Nitapanda mbinguni; Nitainua kiti changu cha enzi juu ya nyota za Mungu; Nitajikalia juu ya mlima wa mkutano, katika sehemu za mbali za kaskazini; Nitapanda juu ya mawingu; Nitafanana na Aliye Juu Zaidi.' Lakini umeangushwa mpaka shimoni, mpaka sehemu za chini za shimo.” (Isaya 14:12–15, Biblia ya Kiswahili)
 
Hii Aya haimaanishi malaika alieasi inazungumzia mfalme wa babeli Kwa MUJIBU wa tanakh kwahyo hapa umejipiga chenga ya mwili tu
 
Hii Aya haimaanishi malaika alieasi inazungumzia mfalme wa babeli Kwa MUJIBU wa tanakh kwahyo hapa umejipiga chenga ya mwili tu
Hiyo ni code ya Lucifer

Mfalme wa Babel hajawahi kuishi mbinguni,Soma kwa kutulia uone kama inamuhusu mfalme wa Babel

Katika Biblia mara nyingi mtu halisi anatumika kama mfano wa nguvu ya kiroho nyuma yake.

Mfano: Ezekieli 28:12–17, maandiko yanaanza kumlenga mfalme wa Tiro, lakini ghafla yanaeleza sifa ambazo hazihusu binadamu wa kawaida (“ulikuwa katika Edeni, ulifunikwa na mawe ya thamani, ulikuwa kerubi mwenye kutiwa mafuta”). Hapa tunaona mfano wa Shetani kupitia mfalme wa Tiro.

Vivyo hivyo, Isaya 14 inaanza kwa mfalme wa Babeli lakini lugha ya kifasihi (“nilipanda juu ya nyota za Mungu”, “nitakuwa kama Aliye juu”) inapita mipaka ya mfalme wa kawaida wa kidunia.
 
Kwamujibu wa biblia sio tanakh
 
Sasa kama agano la kale ni tanakh hapo anazingumziwa mfalme wa babeli Kwa mujibu wa tafsiri za kiyahudi sio wakristo
Ni kweli kabisa kwa mujibu wa Wayahudi, Isaya 14:12–15 inahusu tu mfalme wa Babeli.,Ila wakristo tuna agano jipya ambalo Yesu amelezea humo, kumbuka Wayahudi wanatafsiri kimwili zaidi, wakristo wanaenda mbele zaidi,

Wayahudi hawana mafundisho ya Shetani kama “Lucifer aliyeanguka,” kwa hiyo hawalitafsiri kiroho.

Wakristo tunatumia Agano Jipya kama ufafanuzi wa Agano la Kale. Ndiyo maana mafundisho ya Kikristo yanachukua picha ya mfalme wa Babeli → kuunganisha na kuanguka kwa Shetani, kulingana na aya hizi👇👇

Luka 10:18 – “Nilimwona Shetani akianguka kama umeme kutoka mbinguni.”

Ufunuo 12:7–9 – vita mbinguni, Shetani na malaika zake wakaangushwa.

Kwahiyo Kwa Wayahudi (Tanakh) ni mfalme wa Babeli.

Kwa Wakristo (Biblia yote – Agano la Kale + Jipya) ni mfano wa Shetani (Lucifer).
 
Kwann mpishane sasa kipindi we unaamini maandiko yao wao hawaamini maandiko yenu hii shida ndo inapoanzia.

Turud kweny hoja ya majini sasa nitashusha nondo asubh
 
Humu kwenye elimu za kulishwa ndimo ujinga wenu umejaa,kwa elimu hii kweli mtajikwamua?sht holes!!
 
Uislamu wa Majini na Historia Yao Kabla ya Mtume Muhammad ﷺ
View attachment 3457217
Katika Qur’ani na Hadithi, kuna maelezo yanayosema kuwa majini waliumbwa kabla ya binadamu, na walikuwa na uwezo wa kubeba dini na kumwabudu Allah. Hii inatupa msingi wa hoja na maswali mengi sana kwasisi tunaopenda kutoka nje ya box, tunapata hoja za kiimaninzinazohusu uislamu wa majini kabla ya Mtume Muhammad ﷺ kuja duniani.

1. Uislamu wa majini kabla ya kuzaliwa kwa binadamu

Qur’ani inasema
“Sizani kwa ajili ya ibada yangu tu, nimewazalia binadamu na majini.” (Surah Adh-Dhariyat 51:56)

Hii inaonyesha kuwa majini waliumbwa ili kumwabudu Allah, na hivyo katika hali ya asili walikuwa waislamu

Aidha, Qur’ani inabainisha kuwa majini walikuwepo kabla ya binadamu (Surah Al-Hijr 15:27):

“Na jinn tumewatengeneza kabla ya kumuumba binadamu kutoka makundi ya matope yanayokauka.”

Kwa hivyo, kwa mtiririko wa muda, majini walikuwepo kwanza, na binadamu walifuatia baadaye.

2. Majini na uislamu wa asili

Majini walikuwa wamislamu kabla ya kuzaliwa kwa Muhammad ﷺ.

Kwa hivyo, kwa mtazamo wa historia ya dini, majini walikuwa na dini ya uislamu kabla ya Mtume Muhammad ﷺ kuja duniani.

Hata hivyo, Muhammad ﷺ ndiye Mtume wa mwisho, na Qur’ani ilitolewa kwake ili kurekebisha na kurudisha njia halisi ya ibada ya Allah, kwa binadamu na majini wote.

3. Swali la msingi: Majini walitegemea vitabu vya kale vya Allah?

Qur’ani inataja vitabu vilivyoletwa kabla ya Qur’ani: Torati, Zaburi, Injili (Surah Al-Maidah 5:44-46):

“Hakika tumepewa Torati, ndani yake kuna nuru na hukumu… Zaburi tumeileta Daudi… na Injili tumempa Isa, mtoto wa Maryam…”

Majini waliokuwa wamislamu walipokea mwongozo kupitia vitabu hivi.

Hata hivyo, binadamu waliharibu baadhi ya vitabu hivyo, na hivyo majini walikosa kupata mafundisho ya moja kwa moja, kama ilivyotokea kwa binadamu.

Qur’ani inatufundisha:

“Lakini wao walikosa kuzingatia wito huu; wengi wao ni wapotofu.” (Surah Al-Ahqaf 46:29-30)

Kwa maneno mengine, majini walijua dini ya Allah, walikuwa wamislamu kwa asili, lakini hawakuwa na vitabu vyote vya Allah kwa moja kwa moja.

4. Muhammad ﷺ na majini

Muhammad ﷺ alikuwa Mtume wa binadamu na majini wote (Surah Al-Jinn 72:1-2):

“Sikika kutoka majini, wakasema: Tumemsikia mtu akitaja Qur’ani ya kushangaza, inatuongoza katika njia ya haki…”

Hapa tunaona kuwa majini walifuata Qur’ani na uongozi wa Mtume ﷺ, wakithibitisha kuwa walikuwa tayari wamislamu.

Mantiki inaonyesha kuwa majini walikuwa wamislamu kabla ya Mtume ﷺ, lakini walihitaji mwongozo wa Qur’ani kwa sababu mafundisho ya awali yaliharibiwa au kupotoshwa na binadamu.

5. Maswali ya kiufahamu

1. Majini walipokea dini ya Allah kwa asili, waliikubalije Qur’ani na kuifuata wakati Muhammad ﷺ alipoisoma. Je, walijua mafundisho yote yaliyokuwa yametoweka katika Torati, Zaburi, na Injili?

2. Kwa nini binadamu waliharibu vitabu vya Allah, na majini hawakuweza kuziokoa vitabu hivyo?

3. Je, waislamu majini waliweza kudumisha maneno ya Allah kifuani mwao? Ikiwa ndiyo, je, kwanini Qur’ani ilihitajika kutolewa kwa Muhammad ﷺ?
Kwani Muddy naye si ni jini tu? Uislam bwana, yaani ni zaidi ya laana tuijuayo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom