kaka siku hizi ukiwa na dola 20,000 tu unaenda china unatengenezewa bidhaa kwa brand yako so usishangae ukaona tv zinaitwa mkwawa,
cha muhimu ni kuangalia technology inayotumika kama inameet standard na content utakayopata.
simple google search hio tv inauzwa africa zaidi hivyo kuna posibility kubwa ni mjanja ameenda china amenunua na kueka brand name yake.
unaweza niambia vitu hivi?
1.technology ya kioo ni ipi? LED/LCD/PLASMA
2.refresh rate ya kioo SI unit yake inakuwa interms ya hz mfano 60HZ
3.resolution ya kioo cha tv.
4.nani katengeneza hicho kioo cha tv
5.ni smart tv au ya kawaida tu?
shukrani mkwawa,ila kwa jicho la pili kuptia ushauri wako ni bora sony,hz bruhm rf ni 60hz kwa zle za 32inch,ni led na sio smart tv,panel manufactr hawajaonesha,na kweli kwenye searches zlikuwa znaonyesha kuuzwa zaidi ghana,ila kaka picha zake ni quality,i thought ni german technology,km n china znaweza kudumu 6months only
60hz, led, sio mbaya hasa kama huchezi game unaangalia tu movie na tv kawaida. pia smart tv hazifai jamaa watakuchungulia. next time kichunguze hiko kioo vitu viwili.
1. angalia viewing angle jaribu kwenda kulia na kushoto kwa tv kama quality ni ile ile maana kuna tv hadi ukae mbele yake ndio zinaonesha vizuri. nasema hivi maana unaweza kwenda kuieka sebuleni ikawa kochi la katikati tu ndo wanaona tv waliokaa pembeni hawaoni kitu.
2. color reproduction- kuna tv zinatoa rangi ambazo zina saturation kubwa hivyo ichunguze rangi nyingi nyingi kama zote zipo clear.
unaweza inunua kama bei ni rahisi sana ila kama zinakaribiana ni bora uachane nayo.
kaka,dealer wao kanipigia simu kasema imetengenezwa german,tofauti ya bei ipo ingawa si kubwa,nitaenda kuangalia viewing angle vzur zaid kama ulvyoshauri alaf nirudi,mfano bei ya 32inch ni 600,000 wakat sony ni 720k,bei ya 40inch ni 1m wakat sony ni 1.4m60hz, led, sio mbaya hasa kama huchezi game unaangalia tu movie na tv kawaida. pia smart tv hazifai jamaa watakuchungulia. next time kichunguze hiko kioo vitu viwili.1. angalia viewing angle jaribu kwenda kulia na kushoto kwa tv kama quality ni ile ile maana kuna tv hadi ukae mbele yake ndio zinaonesha vizuri. nasema hivi maana unaweza kwenda kuieka sebuleni ikawa kochi la katikati tu ndo wanaona tv waliokaa pembeni hawaoni kitu.2. color reproduction- kuna tv zinatoa rangi ambazo zina saturation kubwa hivyo ichunguze rangi nyingi nyingi kama zote zipo clear.unaweza inunua kama bei ni rahisi sana ila kama zinakaribiana ni bora uachane nayo.
kaka,dealer wao kanipigia simu kasema imetengenezwa german,tofauti ya bei ipo ingawa si kubwa,nitaenda kuangalia viewing angle vzur zaid kama ulvyoshauri alaf nirudi,mfano bei ya 32inch ni 600,000 wakat sony ni 720k,bei ya 40inch ni 1m wakat sony ni 1.4m
60hz, led, sio mbaya hasa kama huchezi game unaangalia tu movie na tv kawaida. pia smart tv hazifai jamaa watakuchungulia. next time kichunguze hiko kioo vitu viwili.
1. angalia viewing angle jaribu kwenda kulia na kushoto kwa tv kama quality ni ile ile maana kuna tv hadi ukae mbele yake ndio zinaonesha vizuri. nasema hivi maana unaweza kwenda kuieka sebuleni ikawa kochi la katikati tu ndo wanaona tv waliokaa pembeni hawaoni kitu.
2. color reproduction- kuna tv zinatoa rangi ambazo zina saturation kubwa hivyo ichunguze rangi nyingi nyingi kama zote zipo clear.
unaweza inunua kama bei ni rahisi sana ila kama zinakaribiana ni bora uachane nayo.
Refresh rate gani nzur for gaming
hili jukwaa bila wewe ni
bure,knowledge ni kila kitu,kaka nina 5 yearz za kufuatlia techs,viewing
angle ni nzuri,shnda ilikuwa brand,lakn kwa heshma yako naenda sony,pia
natoa ushauri kwa wadau msinunue bruhm,hawana hata website ingawa
quality ya muda mfupi kubwa
Mmmh mkuu kweli nimeona njia, nilinunua tv ya bei poa, inaitwa BISH siyo BUSH mwaka jana mwezi March, mwaka huu mwezi Dec ikaanza kukataa kuwaka, fundi anasema imekufa CARD, /VIDEO BOARD,. Ukiiwasha inababiki tu ktk STANDBY MODE/RED LIT, lkn haiwashi BLUE. HII BRAND HAIONESHI MANUFACTURER, NA WALA WEBSITE HAINA, NA HATA HAIEXIST, UKIGOOGLE UNALETEWA BUSH TV. NA KWA SASA NAONA ZIMEENEA MJINI. Umakini ni muhimu.
Hilo jina linasound kijerumani jerumani
Kaka asikuambie mtu kitu. .bruhm ni kampuni ya kijerumani. ....suala la point of assembling is not an issue. ...watu wanafuata cheap labour and raw materials...ila tunachoangalia sisi ni quality. .suala la bei ni kwamba lg, sony and other big brand....wanaspend a lot of money kwaajili ya advertisement and marketing so lazima bidhaa zao zitakua na bei kubwa kwaajili ya compensation
Ok website yao ipo. ...ata ukigoogle utaiona. ..ila kampuni hiyo siyo kongwe kivile na ili base sana kwenye fridge na air conditioner. ....sasa waneingia kwenye TV na kumbuka wao wenyewe ndio wametoa Tv zenye android operating system. .then product fake huwezi kuta kwenye maduka kama the game kaka