Udhu ni miongoni ma masharti ya kukubaliwa swala yako hivyo ni lazima kila unapotaka kuswali hakikisha umeshika udhu.
Unaweza ukatunza udhu uliochukuwa swala ya ya Adhuhuri ukautumia kuswalia swala ya alasiri ikiwa mambo yafuatayo hayajakutokea baina ya interval ya swala na swala, yani mambo yanayo batilisha /kufuta/kuondoa udhu.
Mfano, kujamba, kujisaidia haja kubwa au ndogo, kutokwa na manii, kumshika au kushikwa na mwanamke kwa matamanio, kupitiwa na usingizi, n.k.
Pia tambua kuwa unapokosa maji unaweza ukatumia mchanga ulio safi (Atayyamum) ambapo utakusanya mchanga safi kisha utaupiga na viganja vyko 2 utajipangusa mikononi na miguuni hakikisha mchanga una vumbi na sio tope.