"Kutokana na kukosekana kwa AJIRA" kwani hua tunafikiriaga ajira ni nn? Hicho ulichoamua kufanya ndio ajira yenyewe mkuu, iheshimu kama ajira zingine, ipe thamani kama kazi zingine yaan km wanavyoamka asubuhi kwenda 'ofisini' kwao the same applies na kwako hiyo ndio OFISI yako, tena wakikuuliza unafanya kazi gani waambie "niko wizarani, wizara ya kilimo idara ya wakulima wadogo wa biashara ya vitunguu" be proud of urself & kila la heri.