Elimu ina nafasi katika ndoa?

Elimu ina nafasi katika ndoa?

IamPrince George

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2014
Posts
412
Reaction score
168
Natumai mko poa,

Je, unadhani elimu ni kikwazo katika maisha ya ndoa? Au je unaweza kumpenda mwanaume/mwanamke kuwa mwana ndoa wako akiwa na elimu ya kidato cha nne bila cheti ikiwa wewe una elimu ya juu kabisa.
 
Let me see....

I am a form 4 graduate and don't have any further education.

But I've a got PhD. in common sense from the school of hard knocks.

I handle my own like no other and I can put my wallet up against anyone with a college degree.

I can hold a conversation on just about anything with just about anyone and I can hold my own.

And I've never had a woman problem.

So to me it's a non-factor.
 
And you have never been to any college?
 
And you have never been to any college?

The only formal education I have is my secondary education.

But the education I received from the school of hard knocks is priceless and I wouldn't trade it for any other kind of education.

Why you ask? Is it hard for you to believe that I never went to college?
 
kuna siku ulisema ulikuwa Junior college or something
 
Nah, siyo Junior college.

Ni junior in college. The college of hard knocks, that is.

In America, a four year study in college or university is classified into four classes; freshman (first year), sophomore (second year), junior (third year) and senior (fourth year).
 
Nitaongelea pande mbili

Elimu sio kikwazo kwasababu wana ndoa wameunganishwa na mapenzi na si elimu.Ndoa haihitaji elimu ili iendeshwe vigezo ni vingine kabisa.Muhimu muelewane,muheshimiane,muaminiane na mupendane.

Tukienda kwenye upande wa pili wa shillingi

Elimu inaweza kuwa kikwazo kwasababu interest zinatofautiana na knowledge zenu,mnakuwa hamzungumzi lugha mmoja mfano ukiwa unahitaji sapoti ya mwenza wako kwenye mambo ya kikazi tayari kuna kikwazo.Inaweza uonekane kama unamkandamiza mwenza wako kutokana na upeo wa kifikra watu wanasema ukisoma zaidi unaerevuka zaidi.Unapaswa uwe na subira mno na uweke vigezo vya kutokumshirikisha vitu ambavyo unaona vinaweza kuleta dharau au matabaka.
 
Mapenzi yana rangi nyingi, waweza mpenda. Lakini pia wapo wasio na cheti lakini wanamaarifa, mfano mzuri ni Mzee Zuma. hana hata cheti cha "chekeches/vidudu" lakini ana maarifa na watu wa Afrika kusini wamempa urais. Cha msingi ni mtu kukubali kujifunza ili asiwe funza.
 
Nitaongelea pande mbili

Elimu sio kikwazo kwasababu wana ndoa wameunganishwa na mapenzi na si elimu.Ndoa haihitaji elimu ili iendeshwe vigezo ni vingine kabisa.Muhimu muelewane,muheshimiane,muaminiane na mupendane.

Tukienda kwenye upande wa pili wa shillingi

Elimu inaweza kuwa kikwazo kwasababu interest zinatofautiana na knowledge zenu,mnakuwa hamzungumzi lugha mmoja mfano ukiwa unahitaji sapoti ya mwenza wako kwenye mambo ya kikazi tayari kuna kikwazo.Inaweza uonekane kama unamkandamiza mwenza wako kutokana na upeo wa kifikra watu wanasema ukisoma zaidi unaerevuka zaidi.Unapaswa uwe na subira mno na uweke vigezo vya kutokumshirikisha vitu ambavyo unaona vinaweza kuleta dharau au matabaka.

Huoni kutomshirikisha ndio itatengeneza uadui na yy kuhisi unamdharau?
 
Natumai mko poa.
Je, unadhani elimu ni kikwazo katika maisha ya ndoa?

Au je unaweza kumpenda mwanaume/mwanamke kuwa mwana ndoa wako akiwa na elimu ya kidato cha nne bila cheti ikiwa wewe una elimu ya juu kabisa.

Kwann isiezekane babu yangu kamwoa bb akiwa hajui kusoma wala kuandika kamfundisha kusoma tuu then akamwimbea kazi wizara ya ujenzi ya uhudumu kastaafu mwaka juz
 
Sio kikwazo lakini ina sehemu yake, it makes difference takes to difference level of approach
 
imagine mna mtoto mmoja,one parent tuseme ana Masters mwingine ana cheti cha form four,alafu mwnye elimu kubwa anamgombeza mtoto kwamba unatakiwa kusoma or else hautaidevelop akili yako,no future without studying..bla bla bla...imagne mzazi mwngne atajisikiaje...but watu ktk ndoa wanakuwa na knowledge tofauti,unaweza ukawa umesoma hdi Phd bt upo pale pale..therez usually sth good in knowing each persons life situations na kuzi-blend pamoja,it cn give sth great, ila kuna mda LaZIMA kutakuwa na kudharauliana,ila tht stage itapita
 
Huoni kutomshirikisha ndio itatengeneza uadui na yy kuhisi unamdharau?

Sidhani kama umenielewa vyema rafiki kama mtu kaishia standard 7 hawezi kudiscuss knowledge na mtu wa PhD!!Hapo inabidi mtu atafute mtu mwengine mfano rafiki azibe pengo asilete mambo ya kazini nyumbani kabisa hasa kama anataka ushauri!Kama kumjulisha kitu tu ni sawa lakini sio kujadiliana!
 
imagine mna mtoto mmoja,one parent tuseme ana Masters mwingine ana cheti cha form four,alafu mwnye elimu kubwa anamgombeza mtoto kwamba unatakiwa kusoma or else hautaidevelop akili yako,no future without studying..bla bla bla...imagne mzazi mwngne atajisikiaje...but watu ktk ndoa wanakuwa na knowledge tofauti,unaweza ukawa umesoma hdi Phd bt upo pale pale..therez usually sth good in knowing each persons life situations na kuzi-blend pamoja,it cn give sth great, ila kuna mda LaZIMA kutakuwa na kudharauliana,ila tht stage itapita

nimejifunza jambo hapa, sasa yule binti itabidi nimuoe tu, ntamsomesha
 
Natumai mko poa,

Je, unadhani elimu ni kikwazo katika maisha ya ndoa? Au je unaweza kumpenda mwanaume/mwanamke kuwa mwana ndoa wako akiwa na elimu ya kidato cha nne bila cheti ikiwa wewe una elimu ya juu kabisa.

Mi naona ni shida iwapo mwanaume ana elimu ndogo sana maana atakuwa hajiamini hivyo atatumia nguvu nyingi ili ajisikie yeye ndo baba hata kama mkewe ni mnyenyekevu
 
my wife to be ni phd holder na mie ni drop out wa chuo mwaka wa 3 kwa sababu ya majukumu, uchumi nk.Tupo vizuri na tofauti zetu kielimu hazija wahi leta kikwazo, kama couples wana elewana na kupendana tofauti ya kielimu haiwezi kuwa kikwazo.
 
Natumai mko poa,

Je, unadhani elimu ni kikwazo katika maisha ya ndoa? Au je unaweza kumpenda mwanaume/mwanamke kuwa mwana ndoa wako akiwa na elimu ya kidato cha nne bila cheti ikiwa wewe una elimu ya juu kabisa.
Cheki hizo herufi
ABCDEF
1. À... Age ...wawili nyie umri wenu upoje n'a mnapishana vipi?
2. B... Body structure zenu zinaendana?
3. C... Characteristics zipo mkijiringanisha.... Zinamachi?
4. D... Discipline.. kwenye kila kitu..
5. E... Éducation background... Hapa ndo penye mada yako.. mnapoposhana wana kielimu Kuna tendence ya kujifeel inferiar kila wakati. Hii hupelekea muhusika kudhani kila anachokifanya au anachoamua kwenye elimu ya juu kipo sahihi kila wakati. Inaondoa ule uelewa wa kawaida kwamba Hata kwenye mashule makubwa visa wanachemka sometime kama walivyo wasio na shule.
6. F... Family background. Hapo ni kuanzia différence ya kipato za familoa husika mpaka level za shule etc

Ndugu, hayo yote hapo juu yakikumbwa na mahaba niuwe hayafuatwi tenaaa..
 
Back
Top Bottom