IamPrince George
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 412
- 168
- Thread starter
- #21
Kwa mwanaume kuwa name elimu kubwa zaidi ya mwanamke huwa haisumbui, issue ni mwanamke kumzidi mume
Siku akitamka au likimtoka linalohusu tofauti yenu kielimu halitakutoka kichwani.... Kwa mfano ukosee kitu halafu aje aseme ...ungesoma usingefanya hayo.... Mbona utakonda.. n'a hawa wenzetu walivyojaaliwa maneno...my wife to be ni phd holder na mie ni drop out wa chuo mwaka wa 3 kwa sababu ya majukumu, uchumi nk.Tupo vizuri na tofauti zetu kielimu hazija wahi leta kikwazo, kama couples wana elewana na kupendana tofauti ya kielimu haiwezi kuwa kikwazo.
Kwa mwanaume kuwa name elimu kubwa zaidi ya mwanamke huwa haisumbui, issue ni mwanamke kumzidi mume
Kuna tofauti ya kuwa na mtu aliyeelimika ktk ndoa na kuwa na aliyesoma ktk ndoa.
^^
Siku akitamka au likimtoka linalohusu tofauti yenu kielimu halitakutoka kichwani.... Kwa mfano ukosee kitu halafu aje aseme ...ungesoma usingefanya hayo.... Mbona utakonda.. n'a hawa wenzetu walivyojaaliwa maneno...
Cheki hizo herufi
ABCDEF
1. À... Age ...wawili nyie umri wenu upoje n'a mnapishana vipi?
2. B... Body structure zenu zinaendana?
3. C... Characteristics zipo mkijiringanisha.... Zinamachi?
4. D... Discipline.. kwenye kila kitu..
5. E... Éducation background... Hapa ndo penye mada yako.. mnapoposhana wana kielimu Kuna tendence ya kujifeel inferiar kila wakati. Hii hupelekea muhusika kudhani kila anachokifanya au anachoamua kwenye elimu ya juu kipo sahihi kila wakati. Inaondoa ule uelewa wa kawaida kwamba Hata kwenye mashule makubwa visa wanachemka sometime kama walivyo wasio na shule.
6. F... Family background. Hapo ni kuanzia différence ya kipato za familoa husika mpaka level za shule etc
Ndugu, hayo yote hapo juu yakikumbwa na mahaba niuwe hayafuatwi tenaaa..
Mapenzi yana rangi nyingi, waweza mpenda. Lakini pia wapo wasio na cheti lakini wanamaarifa, mfano mzuri ni Mzee Zuma. hana hata cheti cha "chekeches/vidudu" lakini ana maarifa na watu wa Afrika kusini wamempa urais. Cha msingi ni mtu kukubali kujifunza ili asiwe funza.
Nadhani issue hapa ni kutokua na inferiority feelings, Japo kanipita kielimu lakini sichukulii hiyo kitu kama competition kwamba lazima tuwe level sawa. Sitarijii kama naweza kuja ambiwa maneno kama hayo lakini ikitokea nadhani itabidi ni rudi shule lol