elimu hii nchini kwetu naota ama ndo yanaendelea

ray mark

Member
Jan 19, 2012
19
1
warizi wa elimu how is it sounds to your ears when you hear the sounds of Innocent children claiming for education as their rights. too sad
how is it sounds to your ears when you hear the sounds of Innocent children claiming for education as their rights.too sad
unajua inasisimua sana kuona watoto wadogo wanaimba kwa uchungu wasome kwakuwa nanyie mmesoma, hivi kweli hamshituki tu?
kweli inafika wanafunzi wanafundishana kwasababu ya waalimu kugoma? yaani serikali imeshindwa uongozi
hivi kweli kati ya watu zaidi ya45M tumekosa mtu wa kuiongoza elimu? we must be joking i swear, this can't be true going on in our country
 
ndo li nchi letu lilivyo!!! kanyaga twende ndo formation..
 
Hakuna atakeyeibadilisha nchi hii, ni kura tuu ya wananchi ndiyo inaweza, kwa nini wazazi na wananchi wa tanzania wasingeandamana nchi nzima? Ili kushinikiza serikali kutoa maamuzi sahihi? Haiwezekani mafisadi wanakula fedha za nchi wanaita vicent na wengine change, we billioni 74 ni change? Mafisadi wanadharau sana...wakati mtu anafundishwa bunsen burner anaishia kuichora na kukariri...........wabunge wanajipongeza ktk madini kupandisha 3% mpaka 4%, 96% ya madini yanakwenda nje, tunaletewa vyandarua vyenye sumu...kama havina sumu kwa nn tukifua lazima tumwage maji chooni? Me nimeshachoka na wizi wa nchi hii...kuna watu wanaishi kwa sababu ni mada kesi kuwaua....hadi hasira
 
Back
Top Bottom