Huyu mwalimu akipewa laptop atafundisha kwa ufasaha zaidi ndo maana tumeahidi laptops
Yericko Nyerere najua utanifikishia ujumbe wangu panapousika
kama umeona star tv wanavyomchafua mgombe wetu ndugu Lowassa..nasisi tutengeneze matangazo ya kuonyesha shule kama hizi na nyingine chakavu..na jinsi lowassa atakavyo badilisha.. hatuoni tangazo hata moja kwenye tv likionyesha mafuriko yetu..kwanini hatuna matangazo kwenye tv..tatizo liko wapi