Elimu, hapa kazi tu

Elimu, hapa kazi tu

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,684
Reaction score
14,069
11201865_701128113365151_5530777552014455207_n.jpg
 
Halaf kuna waziri, naibu waziri, katibu mkuu na naibu katibu mkuu wanatembelea gari la 300m, kutoka posta mpka mikocheni/masaki hii ni dhambi kubwa sana kwa Mwenyezi Mungu.

Halafu mtu anapanga mstari masaa tisa unaweka tiki kabisa katika kisanduku cha kura kuwachagua hawa watu
 
Miaka yote toka UHURU hali ndo hii,na bado mtu anaitetea CCM, mirembe iongezewe eneo kwa kweli!!!!!!
 
Jana mzee waryoba alisema serikali imefanya mengi. Miaka50!! Vipaumbele vyao vilikuwa vipi?
 
Halafu na laptop tutapewa teh, huyo mwalimu sijui ataiweka wapi Toshiba yake
 
Ni aibu sana, ukiangalia kina mama wanavyojitikisa huko kwenye kampeni wakiwa na khanga na kofia +tshirts za bure halafu ndo hao hawana hata mahali pa kujifungulia ni AIBU. Wao watoto wanaowazaa kwa uchungu katika mazingira ya shida ndo hao hawana tena mahali pa kusomea, ni AIBU SANA. Watanzania badilikeni... Lowasa ndo habari ya mjini
 
Nasema ili maendeleo yaje lazima kuwa na kupokezana uongozi kwa vyama na mtu pia. Kamwe kisiwepo chama cha kudumu madarakani. Kura yangu sasa ni kwa ukawa, miaka kumi ijayo kura yangu kwa chama kingine na sio cdm/ukawa.
 
Na bado huyo mwalimu ajiandae kupokea laptop na t shirt ya njano na kofia ya kijani ccm tukishapokea mpunga wetu wa wale twiga wetu tulio wasafirisha.

#hapa kazi tu# ya kuuza twiga.
 
Hapa kazi ya kuiba tuu ndo maana yake but anyway lowasa kwanza aapishwe ndo wataelewa vizuri
 
Halaf kuna waziri, naibu waziri, katibu mkuu na naibu katibu mkuu wanatembelea gari la 300m, kutoka posta mpka mikocheni/masaki hii ni dhambi kubwa sana kwa Mwenyezi Mungu.

Halafu mtu anapanga mstari masaa tisa unaweka tiki kabisa katika kisanduku cha kura kuwachagua hawa watu

HAPA ni LOWASA TU.
 
Inauma sana
 
Jamani.

Binti wa kwanza upande wa kulia mstari wa mbele mkono wa kulia rangi ya pink, jua linamuumiza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom