ELIMU HAINA MWISHO.

Anaonekana ana pesa, alikua nayo nyingi ya kuchezea
 
Nchi zinazotoa elimu bure kwa raia wake ni za Scandinavia zingine badala ya kutoa bure hutoa mikopo kwa wanafunzi wake, zingine hazitoi kabisa. Hivyo bibi hawezi kua kasoma bure ni ama anasoma kwa mkopo au kwa pesa yake.

Bibi katumia miaka 10 sasa hivi ana miaka 91 hivyo alianza kuitafuta degree akiwa na miaka 81. Miaka 81 kwa nchi zinazoendelea na maisha hayapo sawa najua unajua bibi wa umri huu anakua anawaza nini kichwani. Huyu akawa anawaza elimu, kwanini? Kwa sababu kila kitu anacho isipokua degree ndiyo akaamua kuitafuta.

Bado naamini ana pesa nyingi na anayo ya kuchezea, naenda google kuangalia taarifa yake nitakuletea nitakachopata.
 
Nimekuelewa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…