white hat
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 3,318
- 2,489
- Thread starter
- #21
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hao wajukuu zakeApewe ukaka mkuu mzee.
Ila asije akawa kama mimi nilipopewa ukaka mkuu nikajimilikisha dada mkuu na nikaigeza ofisi ya mkuu kuwa guesthouse yangu kila asubuh kabla hajaja-siku moja mwalimu wa zamu akanifuma wewe tulijuta.