Kenya kuna kitu kinaitwa county. Kina bunge lake.
1. What is the equivalent of a county to Tanzania administrative system?
2. Naangalia Citizen Tv, Kenya, county ina bunge, wanatunga sheria , je hakuna mgongano wa bunge Kuu la Kenya na mabunge haya ya county? How do they work harmoniously?