Huo ni mtizamo wako sidhani kama uko sahihi acha jaziba ya kulipia gharama za shule zisio endana na elimu inayo patikana mmekalilishwa mabo yamesha badilika.We fala nimekuignore...
Hauvumiliki ujinga wako pumbavu..
Na hizi shule za English medium zimekua kibishara zaid sio elimu imagine ada 2m usafiri 300k kwa muhula chakula 25000, muhula tour 100k mitihani 50k kwa mwaka unajokuta wewe mzazi umelipa zaid ya 4m kwa mtoto moja ukiwa na watoto wa 3 ni 12m kwa mwaka wakati mshahara wako ni 1.5m mwaka 18. 18-12= 6 kweli hizo 6m utaweza kulisha familia na kulipia basic utilitieskweli kabisa.nchi ina wajinga wengi mno.utasikia wakijidanganya ukimpa mtoto elimi basi
Kwani Engilish kama ni muhimu kwanini kiingerza kisitumike kama medium of instruction katika shule zote za ummah ili kuondoa matabaka katika jamii yetu.Ukweli mchungu . serikali itusaidie kuanzisha shule za english medium wenye uwezo wa kati wanaweza kulipa hio ada nafuu,shida hapo ni kujua lugha ya kizungu tu
Hamna umuhimu wowote wa English medium. Lugha ina mchango mdogo sana kwenye kufaulu. Wapo ambao hawajui kuzungumza kiswahili lakini mtihani wa shule ya msingi wanapata ufaulu mzuri tuKwani Engilish kama ni muhimu kwanini kiingerza kisitumike kama medium of instruction katika shule zote za ummah ili kuondoa matabaka katika jamii yetu.
Faida yake?Miye wangu wananzaa chekechea English media mpaka darasa la nne kuanzia darasa la tano anakuja kukomaa uku na wazalendo wenzie
Fanya hivyo utanishukuru badae
Mtumishi wa kati kutumia zaid ya nusu ya mshahara wake kulipia watoto wake wa chekechea na shule za msingi ada shule za Englisha medium ni ukosefu wa maarifa ya matumizi ya pesa "lack of finance literacy", hili jambo lime fanya kuongeza umasikini miongoni mwa wa tumishi wa umma wa mishahara ya kati, na kuendeleza "urban poverty"
Mtu ana hudumia watoto mpaka anakuja kustaafu imechoka kifedha hana nyumba mjini au kijijini na watoto alio waangaikia hawana ajira anawahudumia tena mara ya pili ku watunza nyumbani ndo maana wastaafu wengi wana kumbana na kisukari na pressure hi inatokana na longtime accumulated stress, wanakufa mapema 10 to 5 baada ya kusitaafu.
Jamani kama 10% ya mshahara wako haitoshi kulipia hao watoto ada zao kwenye shule za English medium jua hiyo sio level au hadhi yako better find your level, kuna shule za umma ni zuri tu mzazi ukiwa serious.
Kuna mtumishi jirani yangu na muonea huruma mtoto wake anafuata na gari kila asubuhi na anarudishwa jioni ila yeye Baba anaenda kwa mgu kituoni kwake na anarudi na boda-boda, hajii na mfuko wowote mkononi ananunua nafaka za mwezi kama kuku kweli maulisha gani hayo?
Sawa hilo na kubaliana na lo kuna faida nyingi kusoma hizo shule, lakini kwanini uishi maisha ya dhiki wewe mzazi kwa kusomesha mtoto kwenye shule ya gharama haliakua kuna shule zingine zenye unafuu wa ada.Sidhani kama ni sawa ku generalize, wengine wazazi walikua middle income families mpaka walikopa tusome hizo english medium za hela nyingi na leo matunda tunayaona.
Kama mzazi unaweza pambana kupeleka mtoto shule nzuri ni kheri umpeleke tu mtoto. Kwa sasa it’s not only about grades bali exposure na connection watoto wanajenga kuanzia mwanzo mpaka wana maliza vyuoni huko.
Mtoto anaweza tengeneza bond na watoto ambao baadae mahusiano yao yanaweza kuwa na advantage kwake either kwa kupata kazi au deals za biashara and etc.
Nimesoma na baadhi ya watu ambao kabla ya kupata japo vya kwangu kidogo ila walinisaidia sana ku pata michongo ya hapa na pale na ni watu nimejuana nao at primary level.
Exposure na connection.
Sawa hilo na kubaliana na lo kuna faida nyingi kusoma hizo shule, lakini kwanini uishi maisha ya dhiki wewe mzazi kwa kusomesha mtoto kwenye shule ya gharama haliakua kuna shule zingine zenye unafuu wa ada.