MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,697
- 4,978
Ndo vile.....lokasa ya mbongo!!![emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Umeelewa sasa?Sawa [emoji18]
Hili bandiko ulitotuletea ni utashi wako au it bases on facts?Ndo vile.....lokasa ya mbongo!!!
Case closed au sio?!!! Anyways... Yule jamaa sifanani nae kwa vitu vingi sana....R.I.P LeMbebezWw Jamaa kama Lemutuz (R.I.P).
Hili desa nimelidownload from above via meditation. Then nikaja kucompare na huku chini + kuwasikiliza wadau ...Hili bandiko ulitotuletea ni utashi wako au it bases on facts?
Kama hivyo sawa,,, nimekuelewa mkuuUmeelewa sasa?
Maana Mimi nasikia tu....Mkataba...mara ooh MAKUBALIANO....yaani watu wanaongea ongea tu ...hata havieleweki. Ni wachache sana wanaopatia ...
Sisi tumeingia MAKUBALIANO. Hatuna Mkataba na hao jamaa! Ova
Makubaliano kwamba watapewa bandari zote za Tanzania milele.Elimu ya bure hii hapa;-
Kuna vitu vinne ambavyo ni muhimu vikaeleweka wazi.
1. Covenant ( Agano )
2. Agreement ( Makubalino )
3. Contract ( Mkataba)
4. Authority ( Mamlaka )
Siku zote AGANO lazima liendane na MKATABA, na pia MAKUBALINO lazima yandane na MAMLAKA. Vitu hivi hukaa viwiliviwili kama mapacha vile au kama "ntu na nkewe!"
Sasa basi, unajua kwanini Watanzania wanapiga kelele sana kuhusu Bandari yao Sababu ni kwamba hawa DP World wameingia Makubaliano na Tanzania, na tena Tanzania ikajifunga kwa kuwapa Mamlaka makubwa sana katika Ardhi yake.
Eh [emoji15] eh [emoji15] eh [emoji15] Sheeiiiilllaaaaa.....el-morondo paranqwine!!!?? [emoji15]
Note 1: DP WORLD haijafanya Mkataba wowote na Tanzania. Kilichofanyika ni Makubaliano tu.
Note 2: Hakuna kitu Kibaya katika maisha kama Makubalino, kwa sababu kama yakikeukwa, basi wajibu na majukumu huwa vinasambaratika na kusababisha uvunjifu wa Amani.
Nimeandika kizalendo kabisa nikiwa hapa Kijijini Chamwino Ikulu.
Watanzania sio wajingaElimu ya bure hii hapa;-

Sawa ni makubaliano:-Elimu ya bure hii hapa;-

Migambo wanaruka na kukanyagana!! Huku supika anasema mkataba wazir anasema mkataba wanasheria wanasema mkataba but wachumia tumbo na wazee wa payroll za kusifia wanasema sio mkataba!! Nan wa kumuamini? Mtafuta posho kwa kusifia au hao ambao hawana njaa ndogndog?Elimu ya bure hii hapa;-
Kuna vitu vinne ambavyo ni muhimu vikaeleweka wazi.
1. Covenant ( Agano )
2. Agreement ( Makubalino )
3. Contract ( Mkataba)
4. Authority ( Mamlaka )
Siku zote AGANO lazima liendane na MKATABA, na pia MAKUBALINO lazima yandane na MAMLAKA. Vitu hivi hukaa viwiliviwili kama mapacha vile au kama "ntu na nkewe!"
Sasa basi, unajua kwanini Watanzania wanapiga kelele sana kuhusu Bandari yao Sababu ni kwamba hawa DP World wameingia Makubaliano na Tanzania, na tena Tanzania ikajifunga kwa kuwapa Mamlaka makubwa sana katika Ardhi yake.
Eh [emoji15] eh [emoji15] eh [emoji15] Sheeiiiilllaaaaa.....el-morondo paranqwine!!!?? [emoji15]
Note 1: DP WORLD haijafanya Mkataba wowote na Tanzania. Kilichofanyika ni Makubaliano tu.
Note 2: Hakuna kitu Kibaya katika maisha kama Makubalino, kwa sababu kama yakikeukwa, basi wajibu na majukumu huwa vinasambaratika na kusababisha uvunjifu wa Amani.
Nimeandika kizalendo kabisa nikiwa hapa Kijijini Chamwino Ikulu.
Kwani wewe hujui kwamba, siku hizi wasomi ndio wanaongoza kwà kupotosha ili kulinda nyazifa zao, vyeo na familia zao?Migambo wanaruka na kukanyagana!! Huku supika anasema mkataba wazir anasema mkataba wanasheria wanasema mkataba but wachumia tumbo na wazee wa payroll za kusifia wanasema sio mkataba!! Nan wa kumuamini? Mtafuta posho kwa kusifia au hao ambao hawana njaa ndogndog?
sentensi Yako ina mimba. Tafadhali izalishe kidogo nikuelewe uzuri.Watanzania sio wajinga
ExactlyMakubaliano kwamba watapewa bandari zote za Tanzania milele.