elimu dezo

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
12524260_1509567016016851_4803568985660419542_n.jpg
 
Vizuri tu acha watu wasome. Huwezi juwa huyo bibi ndoto yake ilikuwa siku moja aweze kusoma na kuandika. Pongezi kwake.
 
Wanasema waliojiandikisha mwaka huu 2016 ni zaidi double ya miaka ya nyuma. Pombe anasugua kichwa.

Lakini hapo kama sio tz vile
 
bibi kaamua kusoma afu wasichana wadogo tunakataa shuke tunaenda ngomani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom