G Gwamanga JF-Expert Member Joined Jun 25, 2021 Posts 247 Reaction score 472 Feb 26, 2025 #1 Kwanini serikali isifute sera ya Elimu bure ili iweze kupunguza gap la kugharamia elimu nchini??
Binti wa zamani Platinum Member Joined Nov 19, 2011 Posts 11,763 Reaction score 27,154 Feb 26, 2025 #2 Khaaa 😳 kijana umekula leo?
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,744 Reaction score 86,370 Feb 26, 2025 #3 Mh! kwanza ilikuwa inatakiwa na afya wafanye bure tu!
N Nikilewa mniache JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 19,276 Reaction score 51,859 Feb 26, 2025 #4 Elimu sio bure hapa nchini
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 43,942 Reaction score 95,311 Feb 26, 2025 #5 Mkuu una jua usi waze kwa kufikiria nafsi yako tu, Kuna watu hata hela ya Panadol Ina washinda sembuse ada ndo wataweza? hiyo elimu bure ime fanya hata wasio kuwa na uwezo, na wao wapeleke watoto shuleni.
Mkuu una jua usi waze kwa kufikiria nafsi yako tu, Kuna watu hata hela ya Panadol Ina washinda sembuse ada ndo wataweza? hiyo elimu bure ime fanya hata wasio kuwa na uwezo, na wao wapeleke watoto shuleni.
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 43,942 Reaction score 95,311 Feb 26, 2025 #6 Mkuu tembea uone, Kuna watu hawana hata uwezo wa kununua yeboyebo kwa ajili ya kuvaa. mtu mlo 1 kwako ni zaidi ya utajiri.
Mkuu tembea uone, Kuna watu hawana hata uwezo wa kununua yeboyebo kwa ajili ya kuvaa. mtu mlo 1 kwako ni zaidi ya utajiri.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,104 Reaction score 1,249,085 Feb 26, 2025 #7 Inashangaza sana