Mpango wa elim bure haukuwa kwenye bajet ya 2015/16 ndo maana had sasa serikal haina idad kamil ya watoto waliopo shuleni labda kwa takwim za Februarykilakitu kina changamoto zake, kuongezeka idadi kubwa ya wanafunzi walioandikishwa darasa la kwanza inaonyesha wazazi wengi walikuwa hawapeleki watoto wao shuleni kutokana na michango pia hata makadirio ya serikali yalikuwa chini cha muhimu ni serikalikukabiliana na changamoto hizo
Wewe umefanya nini kuboiresha hayo. Hebu kwanza ushangilie imeonekana watoyto wengi walikuwa hawaandikishwi .Hizo changamoto kwa serekali ya Magufuli yatafumnbuliwa within no time,. Hebu muwe na kutambua juhudi angalaun hatan kidogo,. Hivi uzalendoi wenu uko wapi. What do you want the President to do ??!?! Kwanza kabisa wewe huhusiki hata kidogo poelaka watoto wako kwenye maacademia huko. wahusika wenyewe wanafurahia kupita kiasi. Ninyi ndio wakwamisha maendeleo mnapinga kila kjitu kila kitu!!!!Elimu bure ni Usanii
1. Elimu bure huku wanafunzi wanakaa chini.. Hakuna vikalio.
2.Elimu bure huku Wanafunzi na Waalimu wanajisaidia Porini
3. Elimu ya bure shule haina Vitabu
4. Elimu ya bure shule haina vyumba vya Madarasa..... Wanasomea chini ya mti.
5. Elimu bure Darasa moja wanakaa wanafunzi 180.
6. Elimu bure Shule hazina Vitabu.
Hii fedha ingeelekezwa kwanza ktk kuboresha miundo mbinu ya kufundishia..
Ni bora Wazazi tungechangia kitu kizuri kuliko kupewa bure kitu kibovu.
Mzee!
Kwa serikali ya ccm hiyo ndio elimu bora mkuuShule yenye wanafunzi 650 imejengwa kwa miti na nyasi, huku wanafunzi wakikaa chini...!
View attachment 321600 View attachment 321601 View attachment 321602
Wengine wanasomea chini ya miti,sijui wakati wa mvua wanakuwa ktk mazingira gani masikini watoto wetuElimu bure ni Usanii
1. Elimu bure huku wanafunzi wanakaa chini.. Hakuna vikalio.
2.Elimu bure huku Wanafunzi na Waalimu wanajisaidia Porini
3. Elimu ya bure shule haina Vitabu
4. Elimu ya bure shule haina vyumba vya Madarasa..... Wanasomea chini ya mti.
5. Elimu bure Darasa moja wanakaa wanafunzi 180.
6. Elimu bure Shule hazina Vitabu.
Hii fedha ingeelekezwa kwanza ktk kuboresha miundo mbinu ya kufundishia..
Ni bora Wazazi tungechangia kitu kizuri kuliko kupewa bure kitu kibovu.
Mzee!
Kwanini walikurupuka?serikali ina wataalam mbalimbali, huo ni utapelikilakitu kina changamoto zake, kuongezeka idadi kubwa ya wanafunzi walioandikishwa darasa la kwanza inaonyesha wazazi wengi walikuwa hawapeleki watoto wao shuleni kutokana na michango pia hata makadirio ya serikali yalikuwa chini cha muhimu ni serikalikukabiliana na changamoto hizo