Hahaha!!! Kuna shule inaitwa Senge. Kulikuwa na mkutano hivyo kila walimu walipangwa kutokana na shule waliyotoka, na waliwekewa bango kuwatambulisha na bango lilisomeka hivyi........"Walimu wa Senge" Naona pia hii itakuwa hivyo hivyo... walimu wa Penzi na wanafunzi wa Penzi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.