and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,116
wewe hustahili kuwa kwenye mijadala kama hii inayohusu mustakabali wa nchi na mipango endelevu, maana uwezo wako wa kutafakari hoja ni mdogo mnowapuuzi wakubwa nyie,kwa masikin kabisa anaona umuhimu wake ila kama una uwezo huwezi ona umaana wake
Maskini yupi unamzungumzia? Au huu umaskini wa kuumbiwa na wanasiasa? Nchi hii haina maskini watakaoshindwa kuwalipia watoto wao michango ya majengo na madawati. Kwani, elimu kabla ya magufuli ilikuwaje? Tulikuwa tunachangia na viwango vilikuwa juu.wapuuzi wakubwa nyie,kwa masikin kabisa anaona umuhimu wake ila kama una uwezo huwezi ona umaana wake
we unadhani kwanini idadi ya watoto kuandikushwa imeongezeka? hii ina maana kuna ambao isingekuwa hivyo wangeshindwa kuwaandikisha watoto,anyway tusibeze ila tuunge mkono jitihadaMaskini yupi unamzungumzia? Au huu umaskini wa kuumbiwa na wanasiasa? Nchi hii haina maskini watakaoshindwa kuwalipia watoto wao michango ya majengo na madawati. Kwani, elimu kabla ya magufuli ilikuwaje? Tulikuwa tunachangia na viwango vilikuwa juu.
Mtu akishalea kila kitu ulewa pombe ni mbaya sana
shule ya msingi walikua wanalipa michango gani hiv?Elimu bure imeleta manufaa makubwa sana kwa wazazi wenye kipato cha chini na Taifa kwa ujumla ktk maana ya lupunguza kiwango cha watu wasiojua kusoma na kuandika. Ukiaangalia takwimu zilizotolewa ni kuwa zaidi ya watoto 130000 wameandikishwa darasa la kwanza mwaka huu. Hii inamaanisha wapo watoto wengi waliokuwa wanakosa kwenda shule kwasababu ya ada na michango holela iliyokuwa inatozwa na walimu hasa wakuu wa shule wenye tamaa. Wazazi wengi walishindwa kumudu ada na michango hiyo na hii sio kwa wazazi toka vijijini pekee bali hata waliopo mijini ikiwemo Dar-Es-Saalam. Matatizo yanayozungumziwa na hao wanaojiita walimu wakuu taratibu yatatafutiwa ufumbuzi. Naunga mkono serikali ya awamu ya tano kwa kazi yake nzuri.
sasa angewashawishije wananchi ili apate kura??MI NAZAN ADA INGEBAK ILA MICHANGO MINGINE INGEFUTEWA
Mbona ninyi wakuu wa shule mnalialia sana??.
Kwani hamna mishahara?.
Mlizoea kupiga dili mwaka huu mmekoma.
Mkaanzisha makundi na kuwachukia walimu walokuwa wanahoji mapato na matumizi ya shule.
Magufuri kawaweza maana walimu wengi walikuwa wamekata tamaa kwa kuwaona ninyi mkineemeka na hali hamfundishi na wale wanaofundisha mnawakanyagia chini.
Kuondolewa kwa michango mashuleni naunga mkono 100%,maana kulikuwa na mgongano wa maslahi ulio sababisha walimu wengi kutofanya kazi kwa moyo.
MAGUFULI,HAPA UMEWEZA MAANA WALIMU KWA SASA TWAFANYA KAZI KWA MOYO NA SIYO KUKUOGOPA.