Wakuu hivi ELIMU bure bila kuwajali walimu kweli lengo litafikiwa?
Watz wanafurahishwa na kauli hii lakini je wanajua faida na hasara za ELIMU bure? Kwa taarifa ya uhakika niliyo nayo walimu wa Mwanza jiji katika shule za msingi wamelazimishwa na Afsa elimu kufundisha bure madarasa ya la pili, nne na saba wakati wa likizo.
Hii ni kutekeleza agizo la ELIMU bure, je, walimu hao watakaofundisha madarasa hayo hawana haki ya kupumzika/kukaa likizo baada ya kufanya Kazi mwaka mzima?
Achilia mbali likizo, acha wafundishe, je, kwakuwa ni muda wa ziada hawana haki ya kulipwa posho za kufundisha kipindi cha likizo?
Huku siyo kuwaonea walimu? Walimu HAWA watafundisha kweli kwa dhati? Nahisi Afsa ELIMU Huyu atakuwa amekiuka haki za walimu.