Elimu bora / bora elimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Elimu bora / bora elimu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MKILINDI, Feb 16, 2012.

 1. MKILINDI

  MKILINDI JF-Expert Member

  #1
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 244
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Moja:
  K utokana na matokeo ya form kwa wanafunzi kuandika ambavyo havihusihani na majibu mf. Mashairi ya bongo flavour, matusi nk hivi ni kweli ndo adolcence age? Au ndo hawajui walichojifunza miaka minne yote?

  Mbili:
  Kama mdau wa elimu nini cha kufanya kunusuru janga kuelekea competion ya federation?
   
 2. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #2
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kikubwa hapa walimu kulipwa madai yao ambayo itasababisha mgomo baridi kuisha ambayo itawafanya walimu kuwasimamia na kuwafundisha wanafunzi ipasavyo
   
 3. MKILINDI

  MKILINDI JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 244
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  nakubaliana nawe mkuu, ni wazi kuwa athari ya mgomo wa docta ni ya papo kwa papo lakini kwa mwalimu ni baada ya miaka kwa kuwa anatekeleza mtaala ndani ya muda maalumu, sio siri serikali itambue na ijifunze kwa hilo.
   
 4. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  KWA HIYO WALIMU NDO WANAWAAAMBIA WANAFUNZI WAANDIKE MATUSI, sikubaliani na ninyi ila hiki kizazi tuangalie jinsi ya kusaidiana kukilea kinamatatizo yake!
   
Loading...