Barackobama
Member
- May 20, 2021
- 20
- 21
Huduma za kijamii kama elimu, afya, usalama et. ni sehemu ya majukumu ya msingi ya serikali. Ndio huduma zinazotoa uhalali wa serikali kukusanya kodi.....Elimu bure ni mzigo kwa serikali. Hebu fikiria kuna shule ngapi za msingi na sekondari halafu kila mwezi serikali inatakiwa kutoa fedha za uendeshaji.
Uwezo wa serikali ni mdogo kugharamia huduma hizo labda waongeze tozo. Hata nchi zenye uchumi mkubwa kama Marekani wananchi wanalipia huduma za elimu, afya nk na kodi wanalipa tena zaidi yetuHuduma za kijamii kama elimu, afya, usalama et. ni sehemu ya majukumu ya msingi ya serikali. Ndio huduma zinazotoa uhalali wa serikali kukusanya kodi.....
Labda tuangalie gharama za kutoa elimu bure vs mapato ya serikali.....
Hii nayo ni sababu kumbe(posho ya ..)Elimu bure ifutwe, posho ya madaraka iondolewe hili ndiyo mwarobaini wa kuepukana na changamoto hii. Kuhusu maslahi ya walimu kuboreshwa huu umekuwa ni wimbo wa taifa uendelee kuimbwa!
Tena ni mateso makubwa mno ambayo yamekuja muda ambao pesa ilikuwa inahitajika sana kwa ajili ya kugharamia usimamizi wa mitihani ya kitaifa kidato cha pili na cha nne. Watu imebidi wakope na wenye unafuu wametumia pesa zao za mfukoniNi miezi sasa takriban mitatu. Tangu Septemba hadi Desemba 2023, Serikali haijatuma fedha za ruzuku shuleni bila maelezo yoyote jambo ambalo limezua mjadala katika utekelezaji wa ebm kwa mujibu wa waraka wa elimu kama ulivyotolewa na Serikali.
Jambo hili linapelekea Walimu viongozi kuanza kupendekeza michango mbalimbali kutoka kwa Wanafunzi na wazazi! Serikali iweke wazi utekelezaji wa mradi huj ili kutowachonganisha walimu na wazazi/wananchi huko shuleni.
=== ===== =====
Serikali haijatuingizia pesa za Elimu Bure kwenye Shule, tunatumia fedha zetu za mifukoni kuendesha Taasisi
Tuna miezi miwili Oktoba na Novemba Serikali haijaingiza pesa za Elimu Bure yaani ‘CAPITATION’ na ‘POSHO YA MADARAKA’, hivyo inaleta ugumu katika utekelezaji wa majukumu ya kishule.
Badala ya kuhudumia familia zetu tunatumia mshahara kuendeshea shule kitu ambacho sio sahihi na kinatuumiza kama Walimu pia ni aibu kwa Serikali, naomba hii ifike TAMISEMI watolee ufafanuzi au Serikali haina fedha?
===== ========
Naomba Serikali ikumbuke wajibu wake ilipe pesa za elimu bure za October na November sisi kama wakuu wa shule tunapata shida sana kutoka kwa wazabuni, kila mara tunapigiwa simu kudaiwa. Naomba serikal iwe inalipa pesa kwa wakati ili kutuondolea usumbufu huu au itoe tamko ni lini italipa kuliko kukaa kimyaa huu mwezi wa tatu unaenda bila malipo.
Pesa hakuna hata kwenye hazina. Hali sio hali kipindi hiki.Ni miezi sasa takriban mitatu. Tangu Septemba hadi Desemba 2023, Serikali haijatuma fedha za ruzuku shuleni bila maelezo yoyote jambo ambalo limezua mjadala katika utekelezaji wa ebm kwa mujibu wa waraka wa elimu kama ulivyotolewa na Serikali.
Jambo hili linapelekea Walimu viongozi kuanza kupendekeza michango mbalimbali kutoka kwa Wanafunzi na wazazi! Serikali iweke wazi utekelezaji wa mradi huj ili kutowachonganisha walimu na wazazi/wananchi huko shuleni.
=== ===== =====
Serikali haijatuingizia pesa za Elimu Bure kwenye Shule, tunatumia fedha zetu za mifukoni kuendesha Taasisi
Tuna miezi miwili Oktoba na Novemba Serikali haijaingiza pesa za Elimu Bure yaani ‘CAPITATION’ na ‘POSHO YA MADARAKA’, hivyo inaleta ugumu katika utekelezaji wa majukumu ya kishule.
Badala ya kuhudumia familia zetu tunatumia mshahara kuendeshea shule kitu ambacho sio sahihi na kinatuumiza kama Walimu pia ni aibu kwa Serikali, naomba hii ifike TAMISEMI watolee ufafanuzi au Serikali haina fedha?
===== ========
Naomba Serikali ikumbuke wajibu wake ilipe pesa za elimu bure za October na November sisi kama wakuu wa shule tunapata shida sana kutoka kwa wazabuni, kila mara tunapigiwa simu kudaiwa. Naomba serikal iwe inalipa pesa kwa wakati ili kutuondolea usumbufu huu au itoe tamko ni lini italipa kuliko kukaa kimyaa huu mwezi wa tatu unaenda bila malipo.
Sawa mwalimu wakupe wewe ukuu wa shuleEeeeeeee mwenyezi Muuungu uliyena mamlaka hapa duniani na Mbinguni FUTILIA MBALI POSHO YA MADARAKA !!! Kuna wakuu wa shule wamenunua hivyo vyeo wakidhani ukuu wa shule ni utajiri !!! Tunakuomba fulilia MBALI hawa" kenge" wakome